TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Hata mie nimekimbilia TBC kuangalia, lakini hakuna lolote.

JF inasaidia sana!

Media unajua maana yake? JF ni media pia! Hizo media unazoziamini zinacopy humu ndio zinaenda ku-confirm then ndio wanatoa breakin newz baaba hata ya saa kupita we angalia ITV watakuja kuitoa Breakin news saa kumi alasiri.
 
media unajua maana yake? Jf ni media pia! Hizo media unazoziamini zinacopy humu ndio zinaenda ku-confirm then ndio wanatoa breakin newz baaba hata ya saa kupita we angalia itv watakuja kuitoa breakin news saa kumi alasiri.

hebu angalia habari ilivyo wekwa hapo juu.
 
Poleni Watz wote especially wanajimbo la Kalenga. R.I.P Mwamgimwa William
 
R.I.P dr. MGINWA. "pole nying kwa famili, ndugu, jamaa na marafiki". #Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe "amina"#
 
Poleni sana Wafiwa. Laiti kama tungelikuwa wenye kuzingatia kifo, ufisadi ungekuwa neno gumu sana hapa nchini kwetu. Mlio miongoni mwa viongozi na watendaji wa Serikali kumbukeni sana kifo ili mtende mema dunia ni mapito tu haya
 
Kwa mara ya kwanza nimeumia sana kwa kifo cha mwanaCCM.

Requesant in Pace Mgimwa Willy!
 
Poleni Family,Ndugu ,jamaa na marafiki..
 
Wadau hebu naomba mnijuze alkua anasumbuliwa na kitu gan hasa au kilimsibu nn had akapelekwa South Africa kwa matibabu? Natanguliza shukran!
 
Dah alikuwa anaumwa nini na kafia wapi maana wengi tunaulizwa hapa, bado hatuna majibu ya moja kwa moja

:angry: any way apumzike mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom