peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,898
- 21,541
πππMbarawa amekusikia
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.Hiyo barabara inaenda kutokea mkoa gani ? Fafanua vizuri mama sisi wengine hatujui umuhimu wake
Ina umuhimu mkubwa Sana, siku angetokea kiongozi wa nchi aweke plan ya miaka 5 ya kujenga barabara zote zinazounganisha wilaya na mkoa ingekuwa poa SanaBarabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Nani kakwambia ameshindwa? Ujenzi umeanza kutokea Mkiwa Singida kuja Rungwa na Bajeti ya mwaka wa 2024/24 tenda Kwa vipande vyote inaenda kutangazwa ikiwemo Rungwa IpoleWaziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?
Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.
Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
Elimu ndiyo kila kitu, we hata ramani ya nchi nchi unaifahamu kweli? Ukitokea Mbeya kwenda Singida Dodoma unatafuta nini? Unapitia Iringa-Mtera-Dodoma-Manyoni-Singida-Nzega ndiyo urudi Tabora? We kweli huifahamu nchi yako km ni mtanzania. Hata mabasi yanayotopkea Dar-Tabora hayapitii Singida na Nzega tena. Unapitia Dar-Morogoro-Dodoma-Manyoni-Itigi-Uyui-Tabora. Ukitoka Mbeya-Tabora ruti ni Mbeya-Chunya-Itigi-Uyui-Tabora. Rombo umeshafika au unabwabwaja tu, hiyo lami imefika mlango kwa nani. Dogo tembea uone usiishi kwa kudhania. Barabara ya Rombo ni moja kutokea Moshi-Himo-Marangu_Rombo mkuu-Tarakea(mpakani mwa Kenya).Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?
Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.
Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
acha kudanganya watu, Mbeya-Tabora Nzega unatafuta nini.Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Umefika darasa la ngapi?acha kudanganya watu, Mbeya-Tabora Nzega unatafuta nini.
Chunya-Itigi Kuna lami we dogo?Elimu ndiyo kila kitu, we hata ramani ya nchi nchi unaifahamu kweli? Ukitokea Mbeya kwenda Singida Dodoma unatafuta nini? Unapitia Iringa-Mtera-Dodoma-Manyoni-Singida-Nzega ndiyo urudi Tabora? We kweli huifahamu nchi yako km ni mtanzania. Hata mabasi yanayotopkea Dar-Tabora hayapitii Singida na Nzega tena. Unapitia Dar-Morogoro-Dodoma-Manyoni-Itigi-Uyui-Tabora. Ukitoka Mbeya-Tabora ruti ni Mbeya-Chunya-Itigi-Uyui-Tabora. Rombo umeshafika au unabwabwaja tu, hiyo lami imefika mlango kwa nani. Dogo tembea uone usiishi kwa kudhania. Barabara ya Rombo ni moja kutokea Moshi-Himo-Marangu_Rombo mkuu-Tarakea(mpakani mwa Kenya).
Amehamishiwa Ujenzi siku hizi?Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?
Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.
Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
Amehamishiwa Ujenzi siku hizi?