Waziri wa fedha alikuwa Cleopa Msuya

Waziri wa fedha alikuwa Cleopa Msuya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1440527318454.jpg
 
Ingawa alitumia fedha za wazee wa EAC!
 
Ingawa alitumia fedha za wazee wa EAC!

Hivi ndo zile zimechimbia nguzo za umeme huko upareni kwa uhandizi wa ajabu milimani, Duh mzee alikuwa bingwa wa ku diviate miradi ya serikali kwa ajiri ya kuwafaidisha wapare wanzake
 
Halafu haka kazee pia siku hizi kanatumia influence yake vibaya kwa kuyumbisha kanisa letu KKKT
 
Hivi ndo zile zimechimbia nguzo za umeme huko upareni kwa uhandizi wa ajabu milimani, Duh mzee alikuwa bingwa wa ku diviate miradi ya serikali kwa ajiri ya kuwafaidisha wapare wanzake

Hapana vile vilikuwa vipaumbele vya serikali kwakuwa wakati wa mchonga ilikuwa ni vigumu kufanya ulofa
 
Back
Top Bottom