Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,389
- Thread starter
- #101
Ni kama vile hakuna utaratibu kabisaWengine wanatoka saa 8.30 mchana wengine saa 9.30 mchana ijumaa wengine wanatoka saa 6.30 mchana wengine wanatoka 9.30 wengine wanafunga likizo wengine hawafungi yaana mambo hayaeleweki kila wilaya au mkoa na wanavyo jisikia