mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Huyo kwenye kila mada anainguzia na uchadema kwa mbali ndio maana anacomment hivyo,yaani bado ana zile hasira za uchaguzi anazichomekea kwenye kila mada.Mawazo ya sis Skymuda mwingine burudani sana
Offpoint. Na kwa post kama hii ni dhahiri kuwa wewe ni mbulula.What does service costing entail?
Based on the above evidence of running heath services in Tanzania.
How should society top up given the current government allocation on health expenditures; how much is the deficit given the estimated costs?
Come up with an argument based on that scenario then I can give you a discussion, otherwise acha kurupoka.
Asubuhi njema.
Mbona mnawaza figo na magonjwa makubwa kama kisukari/Bp wakati malaria ndio inaongoza kuua akina mama na watoto wenye umaskini.Eti mchango wa elfu 20 utibiwe figo kiukweli ni ndoto za mchana kweupe,maana hizo bima za kulipia milioni 2 kwa mwaka bado zinabagua baadhi ya magonjwa.
Sasa malaria tiba yake ni nyepesi kuna vimaabara vingi mtaani wanapima kwa buku 3 tu,na dawa pharmacy zinauzwa elfu 5.Mbona mnawaza figo na magonjwa makubwa kama kisukari/Bp wakati malaria ndio inaongoza kuua akina mama na watoto wenye umaskini.
Madhara ya kukariri maisha ya kwenye mitandao ya kijamii. Kuna familia nyingi sana hata kupata 3000 kwa siku ni kazi.Sasa malaria tiba yake ni nyepesi kuna vimaabara vingi mtaani wanapima kwa buku 3 tu,na dawa pharmacy zinauzwa elfu 5.
Ni pesa ambayo mtanzania wa kawaida anaweza kumudu.
Lengo la kuwa na bima ni kujiandaa endapo utapata ugonjwa mkubwa ambao hautamudu gharama zake ndipo hapo bima itakusaidia.
Madhara ya kukariri maisha ya kwenye mitandao ya kijamii. Kuna familia nyingi sana hata kupata 3000 kwa siku ni kazi.
Naunga mkono hoja, tena naunga sana.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
Basi Hana mda mrefu atambukaKwangu mimi huyu wa Waziri wa afya ndiye waziri wa hovyo zaidi.
Ni mpenda sifa na mkurupukaji.
Anafanya vitu kwa sifa na hana weledi wowote.
Duniani kote kuna mortuary cost,hapo labda useme garama wafanye ziwe nafuu na siyo za kukomoanaMshahara wake unatokea wapi?
Kwanini nilipie kumuona kama anafanya kazi taasisi ya serikali?
Can you justify that kwenye service costing za serikali?
Wewe muongo na mnafiki mkubwa wewe...
Unakosea, hali ya masha ya watanzania ni ngumu sana iwe mjini au kijijini, majority wanahali ngumu.sawa najua kuna watu kama hao kijijini ila zahanati za vijijini zina utaratibu wao tofauti na mijini.
Sidhani kama vijijini wanalipishwa elfu 10 kumuona dokta.
Kwangu mimi huyu wa Waziri wa afya ndiye waziri wa hovyo zaidi.
Ni mpenda sifa na mkurupukaji.
Anafanya vitu kwa sifa na hana weledi wowote.
Nafikiri ni ubunifu tu hakunana ila tukiamua kulivalia njuga linawezekana, kuna watu wana katwa zaidi ya milioni kws mwaka lakini gharama alizotumia kupata matibabu hazifiki 200000.Bima ya Afya itatolewa kwa mtindo upi kwenye taifa ambalo ma jobless ni wengi zaidi ya wenye ajira?
Zaidi wataweka kiwango cha chini mwanachama kulipia kwa mwaka, lakini mwanachama huyo akiugua ugonjwa mkubwa wakuhitaji gharama kubwa hiyo bima haitamsaidia chochote, ataambiwa tena alipie, matokeo yake tutarudi kule kule.
Hapa serikali ni vyema ikatenga fungu kwa ajili ya kuwasaidia wale wataokwama kulipia gharama zote za matibabu yao.
Tulipewa ambulance haina kitanda, mgonjwa analazwa chini kwenye godoro.
Yote najua hayo mkuu,wapo watu wanapiga deiwaka mjini leo amepata kesho amekosa lakini ikitokea anaumwa na hela hana kuna msaada wa ndugu,marafiki hawawezi kushindwa kumchangia elfu 10 au 20 kwa ajili ya ishu ya ugonjwa akijieleza.Unakosea, hali ya masha ya watanzania ni ngumu sana iwe mjini au kijijini, majority wanahali ngumu.
Sawa,hayakukuta.Yote najua hayo mkuu,wapo watu wanapiga deiwaka mjini leo amepata kesho amekosa lakini ikitokea anaumwa na hela hana kuna msaada wa ndugu,marafiki hawawezi kushindwa kumchangia elfu 10 au 20 kwa ajili ya ishu ya ugonjwa akijieleza.
Duniani kote kuna mortuary cost,hapo labda useme garama wafanye ziwe nafuu na siyo za kukomoana
Narudia tena dunia ya leo hakuna cha bure mzee kila kitu watu wanataka maslahi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app