Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
- Thread starter
- #41
Kwani kifo kinabagua? Watu wanakufa hata kwa kukosa tiba ya malaria ya 30000.Hapa tunazungumzia kutatua tatizo la maiti kuzuiwa hospitalini sababu ndugu wa marehemu hawana uwezo kulipia gharama za matibabu ya mpendwa wao, wewe bado unaturudisha kwenye madaraja, kumbe basi hata kuwa na bima ya Afya haitakuwa suluhisho la kuondoa tatizo la maiti kuzuiwa hospitalini, sasa km kulipia hawawezi, na bima wanakuwa daraja la chini, what next...?!