Mkuu nchii hii imegeuka Shamba la bibi hasa ukiona mfamasia Sasa anashupaza shingo kana kwamba yeye ndo kila kitu KWa mgonjwa kisa tu kapitia pale ,
Hiko hivi mkuu ukisoma pharmacokinetics, pharmacodynamics ambayo ndo misingi ya course ya pharmacy utajua ,wameanza kujitoa ufaham, leo hata pharmacy nje ya utafiti, nje ya kutengeneza dawa viwandani, Kama ni kutibu tu wawepo wasiwepo hakuna kinachoharibika, sijui why wajiona muhim na wa ziada,
Tuna speciality tz na nje za kutengeneza vifaa na kurepair hii ni industry muhim Sana , maana vifaa vyote mfano , x-ray, MRI, CT SCAN Hawa ndo wenyewe ila hawatambi, Sasa Hawa wafamasia majingambo ndo KILA kitu,
Waelewe mgonjwa hatibwi na mtu mmoja , mbele ya mgonjwa mmoja Kuna team nyingi Ili apote ,
Mwisho hatima ya mgonjwa bado ipo KWa doctor, yeye ndo anaamua
1 ampime nini
2.achunguze nini, na atoe matibabu yapi , Sasa imefika wafamasia Sasa eti ndo wanaanza wapangia maboss wao ,WAMEROGWA HAWA