Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana
Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine na phenegan.
Nilichoambiwa kwamba dawa za phenegan zimepanda kwamba kidonge kimoja shilingi Mia tano, na cha ajabu nakuja kuuliza maduka ya Kariakoo naambiwa dawa ni shilingi 50, Mh. Waziri ni kweli dawa zimepanda kiasi hicho au tunaibiwa wenye wagonjwa.