Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,591
- 134,232
Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.Povu linakutoka kwa kumtetea fisadi wako ili marashi atakayokuwa anajipaka atakapokuwa Ikulu yakurukie na wewe japo uambulie ukuu wa wilaya.
Lowasa ni nani???
Mkuu BAK, lengo la tendo la ndoa kwa mujibu wa mafundisho yote ya dini zote na jamii zote, was ment lifanywe ndani ya ndoa!. Lakini kabla tendo hilo halijafanyika, lazima kwanza umtafute umpendae, umpende, umpose, ndoa ifungwe ndipo ufaidi matunda ya ndoa!.
Hivyo hata kama CCM, walichakachua, walidanganya, walihonga, waliiba na kufanya kila mbinu, anayetangazwa na tume kuwa ndiye mshindi, anakuwa ni "mshindi halali"
.
Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.
Hili la kuteuliwa DC nalo neno, ili niteuliwa DC itabidi kwanza niwe mwana CCM, mimi sijawahi kuwa mwana CCM, kwa sababu sijafikiria kuwa mwanasiasa!. Kwa vile siasa naziweza, nikiamua, naweza kujiunga chama chochote, naweza kujiunga CCM nikawasidia kuleta mabadiliko from within, naweza kujiunga Chadema, nikawasaidia kwenya "rapid response on damage control", naweza kujiunga NCCR, TLP, UDP au CUF, au 2015, naweza kusimama as an Independent Candidate na kushinda kuilaini Kinondoni wilaya ninayoishi, Kawe, jimbo ninalioshi, au Ilala nilikoanzia kazi na kuishi ten good years!. Yote haya "ni kama" nitaamua!.
Hata nikiingia CCM, kiukweli wa toka ndani ya moyo wangu, kwangu mimi U-DC sio dili kabisa!. Kama nimewahi kuwa "political Advisor" mahali, nikilipwa fungu nene tuu, lakini niliacha kwa kuboreka, na kuirudia fani yangu, sasa U-DC ndio nini kwangu?!.
Wengi wanaamini Pasco wa jf ni mtu wa njaa sana!, kiukweli mimi ni maskini jeuri, niko kama "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", nikimaanisha kama issue ni pesa, ningekuwa naogelea kwenye minoti!, lakini mimi naendeleza fani yangu japo ya kimasikini, lakini I'm doing what I love most!.
Pasco
Mkuu BAK, kwanza natanguliza samahana kwa vile japo jf was meant for ma GT, lakini ukweli unabaki sio kila mwana jf ni GT, ma GT wapo, na sisi wa kawaida kama mimi pia tupo!, mwanzo nilidhani na wewe ni GT, kumbe ni kama mimi tuu, vitu simple kuhusu EL, unashindwa kuelewa!.You don't have any authority to judge who is GT and who is not on this forum. Tatizo lako wewe ni bendera hufuata upepo. Ukiona kambi ya fisadi Lowassa wameshuka kwa wingi jamvini ili kumpigia debe basi nawe utaunga tela, ukiona upepo unaelekea upande tofauti utajiita mzalendo. Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake kamwe hawezi kuona uchaguzi unachakachuliwa halafu bado akadai chama kilichochakachua uchaguzi kwa vitendo mbali mbali ikiwemo kutumia vyombo vya dola ndicho mshindi halali. Kama uDC siyo deal basi utapewa ubalozi Burundi. We endelea kuzuga watu hapa jamvini kwamba huna chama kumbe janja yako wengi tumeshaistukia.
Mkuu BAK, kwanza natanguliza samahana kwa vile japo jf was meant for ma GT, lakini ukweli unabaki sio kila mwana jf ni GT, ma GT wapo, na sisi wa kawaida kama mimi pia tupo!, mwanzo nilidhani na wewe ni GT, kumbe ni kama mimi tuu, vitu simple kuhusu EL, unashindwa kuelewa!.
Matokeo ya uchaguzi wowote "yanahalalishwa" kwa kutangazwa na NEC!, baada ya matokeo ya urais kutangazwa, that is the end of the road!. Kutangazwa maana yake ndio amehalalishwa, yaani halali, kwa utaratibu wa "the end justifies the means!". Huu ndio ukweli wenyewe ukubali, ukatae!. Baada ya mshindi kutangazwa, anakuwa halali pale pale na haijalishi ni mbinu gani alizotumia kushinda!.
Sijisifu wala sihitaji kujitapa kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu!. Wanaonijua, wanaujua, kwa wasio nijua, watanijua tuu kufikia 2015!.
Hili la kutokuwa na chama, its coming from the bottom of my heart sina chama!, ila ninauhuru wa kuwa na mapenzi na chama chochote, na mtu yoyote!. Kama mwana habari, nimetumika wakati wa Mwinyi, nimetumika wakati wa Ben na sasa naendelea kutumika wakati wa JK, sijikombi kwa yoyote wala chama chochote!. Lumumba nakwenda, Togo nakwenda, Buguruni nakwenda na pale Ilala Mtaa wa Arusha pia nakwenda, na kutokuwa na chama huku, there is where my strength lies!.
Pasco.
Mkuu BAK, I though you belong to ma GT wa humu jf!. Hata baada ya kukueleza EL ni "sauti tuu iliyo nyikani", bado huelewi!.
Pasco
Wanabodi,
Naomba nianze kwa ku declare interest: Mimi Pasco wa JF ni mshabiki mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, na kumchagiza yeye ndiye awe mgombea wa urais wa 2015 kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM!.
Japo mimi humu jukwaani natambulika kama ni "mtu wa Lowassa", sijawahi kukaa nae popote zaidi ya kukutana nae kihabari, sijawahi kuhudhuria mkutano wake wowote na waandishi wa habari, sijawahi kupokea hata senti tano yake ili kumpigia, debe humu, bali nilijitolea kwa sababu niliamini ni kupitia kwake, Tanzania ingepata ule ukombozi wa pili wa Mtanzania,
Edward Lowassa kwa CCM na urais wa 2015 ni kama Zitto Kabwe na Chadema kwa urais wa 2015!, both are powerful,action oriented, mabingwa wa mass mobilization, wana vipaji vya hali ya juu vya "visionary leadership", wote wana capabilities za kutupatia the "best presidents" this nation had ever had.
.Please share with us the criteria used to evaluate who is GT and who is not.
Kamwe siwezi kuwa kundi moja nawe mchumia tumbo ambaye uchaguzi hata kama umechakachuliwa ali mradi tu matokeo yametangazwa na tume ya uchaguzi ya CCM ambayo haiko huru hata chembe basi utayaona matokeo hayo ni halali!!! Kweli weye ni Mzalendo tena wa hali juu!!!!
Mkuu BAK, ndia maana nilikuambia tangu mwanzo, ulipaswa kuwa na uwezo "to read in between the lines!" na leo nasema tena na tena, kwa hali ya nchi ilivyo sasa, EL ndie the best candidate that CCM has!, "kwa ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzaia ili pia litimie lile neno kuwa rais wa Tanzania kwa mwaka 2015!, lazima atoke Kaskazini!".Kwa taarifa yako mzalendo halisi hatakiwi kujibaraguzabaraguza kila dakika na kujipigia debe kwamba yeye ni Mzalendo halisi, kwenye kundi hapotei ni rahisi kumfahamu kwamba huyu ana mapenzi kweli na nchi yetu lakini wewe Pasco huna hata chembe moja ambayo inastahili kutumika katika kuingizwa kwenye kundi la Wazalendo wa Tanzania. Wewe ni mchumia tumbo tu ambaye unasubiri kuona upepo unavuma vipi kuelekea 2015 ili uchague kambi katika kubahatisha kurushiwa mafuta uzuri ili nawe unukie. Danganya wengine wasiokujua, hapa jamvini wengi tunakufahamu kwamba wewe ni mganga njaa tu huna uzalendo wowote.
Please share with us the criteria used to evaluate who is GT and who is not.
Kamwe siwezi kuwa kundi moja nawe mchumia tumbo ambaye uchaguzi hata kama umechakachuliwa ali mradi tu matokeo yametangazwa na tume ya uchaguzi ya CCM ambayo haiko huru hata chembe basi utayaona matokeo hayo ni halali!!! Kweli weye ni Mzalendo tena wa hali juu!!!!
Mkuu BAK, ndia maana nilikuambia tangu mwanzo, ulipaswa kuwa na uwezo "to read in between the lines!" na leo nasema tena na tena, kwa hali ya nchi ilivyo sasa, EL ndie the best candidate that CCM has!, "kwa ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzaia ili pia litimie lile neno kuwa rais wa Tanzania kwa mwaka 2015!, lazima atoke Kaskazini!".
Nikasema mgombea urais wa CCM hupatika kwa kuwa "the chosen one!" and not necessarily "the best one!" na nikatolea mfano mbio za 2005 ndani ya CCM, kati ya JK, Dr Salim na Prof. Mwandosya, the best was Dr, akifuatiwa na Prof, JK ndiye alikuwa wa mwisho!, but "the chosen one!". Niliwahi kuuliza humu mnajua sifa zipi na mbinu zipi zilimpitisha JK!.
Hivyo baada ya uchaguzi wa CCM nikasema humu kuwa japo EL is the best that CCM has, ila "he is not the chosen one" nikawaambia EL amelikubali hili, sasa yeye ni "sauti tuu iliyo nyikani" ikiyanyoosha mapito ya huyo yuaja!.
Na kwa upande wa Chadema, mwanzo nilisema "ZZK is the 'one and only' best that Chadema has!", Baadaye nikayaweka mapungufu ya ZZK humu humu jukwaani hivyo nikabadili kidogo msimamo kuwa ZZK is among the best that Chadema has!"
Kwa kutokuwa na chama, means I'm standing on the fence, hivyo niko huru kuangukia popote, kama ningekuwa mganga njaa na mchumia tumbo, kwa nini nisingejiunga CCM siku nyingi ili nami niwe sehemu ya ulaji wa hii "keki ya taifa?!. Niliwahi kufanya kazi mahali pa maana tuu huku nikivuta fungu nene!, sikufukuzwa, sikuchikwa, siku achishwa, bali, mkataba ulipoishwa, niliombwa ku renew, nikakataa ili tuu nilitumikie taifa langu kwenye fani hii ya habari!.
Pasco wa jf atakuwa ni mchumia tumbo wa ajabu sana, ambaye mpaka leo hajajiunga na CCM eti akisubiria kuangalia upepo wa 2015 unavumaje!?. Pasco wa jf ni mganga njaa wa ajabu sana, ambaye moja ya majukumu yake siku hizi ni kuzigawa zile "bahasha za uwezeshaji waandishi wa habari!.
Pasco.
BAK,
Umekataa kulinganishwa na......!
Mkuu BAK, kuelewa pia ni "uwezo!", sifa kuu ya GT ni pamoja na "uwezo" huo wa kuelewa!. Kumbe wewe unasubiri kuambia who made the decisions?!, siswengine hatusubiri "who", we just made that trend!, "trend setters!", na muda wa kukubali matokeo utakapowadia, nitakukumbusha tena humu humu jf!.lol! we unachekesha sana kwa pumba zako. Ukiandika pumba hukawii kuruka kimanga kwamba hukueleweka.
I am very glad that I don't have the ability to read between the lines. By the way who made the decision that the criteria to be used to evaluate GT and non GT is the ability to "read between the lines"!? and when this decision was made!?
Endelea kushusha pumba zako lakini ujue wengi tumeshakustukia kwamba wewe ni mganga njaa anayesubiri kuona upepo unaelekea kipande ipi ili nawe uweke kambi huko upepo utakokuwa unaelekea.
Mkuu BAK, kuelewa pia ni "uwezo!", sifa kuu ya GT ni pamoja na "uwezo" huo wa kuelewa!. Kumbe wewe unasubiri kuambia who made the decisions?!, siswengine hatusubiri "who", we just made that trend!, "trend setters!", na muda wa kukubali matokeo utakapowadia, nitakukumbusha tena humu humu jf!.
Pasco
Mkuu BAK, kama ilivyo kuelewa ni uwezo, vivyo hivyo na kusikia pia ni uwezo!. Hata Socrates na Plato walivyoanza, walionekana kama ni wapiga kelele tuu tena wanajisumbua!.lol! Wewe utakuwa ---- . Sina haja ya kuzisikia pumba zako.
Mkuu BAK, kama ilivyo kuelewa ni uwezo, vivyo hivyo na kusikia pia ni uwezo!. Hata Socrates na Plato walivyoanza, walionekana kama ni wapiga kelele tuu tena wanajisumbua!.
Kwa vile kusikia nako ni uwezo, na kwa vile kuna watu hawana uwezo "to read in between the line", hivyo pia kuna uwezekano hata uwezo wa "kusikia" pia inawezekana ikawa issue, kila sauti ukaiona na kelele tuu (pumba), hivyo kusikia nako, kunahitaji "uwezo!".
Ila pia, masikio nayo ni kama macho, yana pazia!, ukiamua usiangalie kitu, unafunga macho!, na ukiamua usisikie kitu, unaziba masikio!, ndio maana sio lazima usikilize kila kitu!, ila pia kuna vitu, hata usiposikiliza, utasikia tuu wether you like it or not!. Kwa mfano kwani ulipenda kumsikia nani ndiye awe rais wako?!. Sasa huyo aliyepo, unategemewa utapenda kumsikia?!. No!, hata ukisema huna haja ya kumsikia!, utamsikia tuu!.
Pasco.