GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,784
- 109,452
Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na Vyuo Vikuu.