Waziri Ole Medeye azomewa...

Waziri Ole Medeye azomewa...

Exaud Mamuya

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
403
Reaction score
243
Katika hali isiyokuwa ya kawaida hapa Arumeru Magharibi ni kwamba naibu waziri wa nyumba na makazi mh Ole Medeye amezomewa barabara nzima alipokuwa akitokea kwenye mkutano wa kampeni wa kata ya Bangata hapa Arumeru Magharibi.

Hali hiyo ilimfanya dareva wake akimbize gari kwa mwendo usiokuwa wa kawaida ili kumuondoa kwenye kamera za waandishi wa habari.
 
Na bado huo ni mwanzo tu,tena hata jimbo lake alishinda kwa zengwe. Mwambie apeleke maji sakina juuuuuuuuuuuuuu ndiyo arudi akapige kampeni. Huyo nae hatashinda uchaguzi ujao
 
Aibu hiyo wanaitafuta ilikolala. Yeye anajiona ni nani kiasi anawaza kuwa akitoka Dar anakoishi, basi watu watamtetemekea?
 
huyo dereva anashida gani wakati hilo vx likiaribika linaagizwa lingine
 
siku zote huwa nasema mzigo waliobeba si wao ?
Haiwezekani mgonjwa akatae wauguzi ?
 
Aibu, hawa wajamaa mpaka wapigwe ndio wajue hawatakiwi,Ila wanajua isipokuwa wanajifanya hawajui
 
je! hiyo nayo ni busara??????

Busara inastahili wenye busara ila mafisadi malipo yao ni zomea zomea au mkuu ulikuwa una maana gani?
Vp umefanikiwa kuangalia mdahalo wa Obama na Mitt hapo jana? Kama umeangalia basi ungefuta maneno yako ya mwaka 47
 
Anadhani watu bado wana tabia ya kufagilia viongozi wanaopata madaraka then wanahamishia makazi DAR. Nawasikitikia wanaArumeru magharibu.
 
Ngoja na mimi nizomee! mburula hilooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!
 
Ni juzi tuu niliandika kwamba mbunge wetu haonekani jimboni tangu achaguliwe...kwani kampeni ndo matataizo yetu arumeru...afadhali ameipata....!
 
Back
Top Bottom