Waziri Ndalichako akijibu kuhusu mgawanyo wa mikopo TBC

yani mimi kaishia kunivuruga tu
kaulizwa unazungumzije kushuka kwa idadi ya wanafunzi wanaopewa mikopo ,kutoka asilmia 70 mpaka 20,majibu yake sasa et oooh kule tanga wengine walisoma wakakosa ajira,wakarud chuo na wakapata mkopo tena,nguvu zikaisha
Wanajaribu wasomi, yakiwashinda wanaanza kuweweseka
 
naangalia taarifa ya habari hapa tbc,serikali ya wanafunzi udsm wamepeleka malalamiko yao kuhusu kutoridhika mgawanyo wa mikopo kwa wanafunzi waliopata mkopo,wametoa maelezo yao safi kabisa.sasa ikafika zamu ya waziri wa elimu kujibu nia yao na ni jinsi gani wamegawanya ,na kwa faida gani na hiyo inawasaidia vip wanafunzi,Aisee mama ameishia kujikanyaga kanyaga tu hadi naandika hapa hakuna nlichoelewa
Tatizo wewe ni mgumu wa kuelewa au ulimsikiliza ukiwa tayari una majibu yako!!
 
Ndalichako ni "mbuzi wa kafara" tu katika hili la Mikopo ya wanachuo. Tatizo ni yule "Tembo" aliyechimbia pale Magogoni kwa kukaa kimya.

Huu mziki wa mikopo hata Majaliwa anaukwepa, anajifanya hauoni na kupotezea kwa kwenda kufanya ziara za kuunga unga huko mikoani.

Ukweli ni mmoja tu, serikali kwa sasa haina Pesa lakini pia suala la Elimu sio kipaumbele cha serikali hii ya awamu ya Tano.
 
Mawaziri wa Rais Magufuli wote hawana maamuzi wanafanya kazi kwa kihoro, Wanafanyakazi kwa uwoga.
 
wewe umeelewa nini pale,mara huko tanga mara form four wenye DD,hapo unaelewa nn
Kiufupi, Waliokidhi vigezo vya sasa watapata mkopo wao, zoezi bado linaendelea!
Mengine naona nitakuchanganya maana hauko tayarkuelewa sababu una majibu yako tayari kichwani.
 
Back
Top Bottom