Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

Kaka soma vizuri maneno ya Maalim ndo uandike hapa., Nchimbi alipaswa kuitaja Tanganyika kwanza kama ndio nchi ya kigaidi ndo aje aropoke aisemee Zanzibar., Kenya wameshauliwa masheikh mara ngap kwa risasi mbona haijatangwaza kama Kenya ni nchi ya Kigaidi? msiwe majuha Tanganyika kutaka kuimeza Zanzibar kwa muungano wenu feki., ongeeni maneno ya msingi kwenye public media sio ujinga

Mi nachukia watu wenye vichwa vibovu km wewe, tunaiongelea Tanzania siyo Kenya.
 
enyi wanafiki, mnafiki mkubwa wewe hvi wewe ni Mungu mpaka umehukumu eti kuna mtu yupo motoni? Endeleeni kudanganyana misikitini huku mkiwa mnakunywa kahawa na kuwanga kwa sana,mkijiamini kwamba mtakwenda mbinguni kwa kumwaga damu ya watu.

Endeleeni kunywa pombe, kula rushwa, uzinifu holela, mkitegemea peponi ni rahisi kwakuwa mna picha ya mungu !
 
Wazanzibari walio wengi tunajuwa haya ni mipango yanayofanywa na watu fulani ili kuwapoteza wazanzibari na lile lengo lao la kudai mamlaka kamili ya Zanzibar. Sheria za zanzibar ziko wazi raia wa kawaida haruhusiwi kumiliki silaha za moto, ni vyombo vya ulinzi na usalama tu ndio wanaomiliki silaha, sasa hapa tujiulize pahala penye watu wasiozidi laki tisa (unguja) hao maispekta, na wenziwao wako wapi hata haya yatokee bila kuwakamata wahusika na hili si la kwanza.?Ulimboka alitekwa, shekh faridi aitekwa, makanisa yalichomwa lakini kesi zenyewe zinashindwa kufikia popote kwa sababu walioandaa haya ni wao wenyewe viongozi sasa wakitaka ukweli inabidi wajishtaki wenyewe jambo ambalo haliwezekani.

Waziri nchimbi tunakwambia usituharibie zanzibar yetu kwa kutubambikizia ugaidi, kama ni ugaidi jiuzulu basi kwani Zanzibar ni kisiwa kila anaeingia hapa lazima amepita ktk uchunguzi kila sehemu, itakuwaje hao magaidi waingie bila ya mamlaka zako kuwajuwa? kama umeshindwa kazi waachie wenzako.

​ tujiulize munamo miaka ya karibuni zanzibar kulikuwa na miripuko ya mabomu kama sikosei bomu moja liliripuka kwenye nyumba ya aliyekuwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi ZUBERI ALI MAULID hii li lilifanya makusudi kuwazima nguvu uamsho miaka ile ALIPOKUWA WAZIRI WA MAMBOI YA NDANI NI OMAR RAMADHAN MAPURI je uchunguzi wa mabomu yale ulifikia wapi au lengo lilitimia
kila hila inayofanywa na ccm na serikali yake lazima ibainike, hila za ccm ni pembe la ngombe hazifichiki tena, kila kitu adharani
 
'tatizo ni ndevu hizo,mtu akiziona tu anahisi ni GAIDI hayo mawazo mgando jamani izo ndevu ni SUNNAH ndugu zanguni,o.k?'
 
yakhe! wauliza silaha zatoka wapi? hebu bonga na uamsho utaletewa hadi sebuleni kwako! ila tu waahidi wataka kulipua kafir!
 
Mahala popote pa kazi kuna mamlaka iliyo juu na chini,

Kimamlaka waziri wa Mambo ya ndani hayuko chini ya Maalim Seif.

kama maalim Seif alikuwa na hoja ya msingi ya kumpinga Waziri mwenye dhamana hiyo na ambaye pia ni mteule wa Rais, ilitosha kwake kuwasilisha mapendekezo yake kwa Rais Shein kuhusu matumizi ya Neno GAIDI ili kupata tafsiri ya pamoja.

NCHIMBI katika kauli yake alielezea matukio ya kumwagia Tindikali Sheikh Saloga, kumpiga risasi padri Ambrose mwezi Novemba mwaka 2012 na kumuua kwa risasi padri Everist Mushi kama matukio ya kigaidi.
 
MHALIFU anaweza kuitwa majina mengi tu ili kutoa picha kuwa amekosa ubinadamu. Tukianza kubishana kuhusu tafsiri na namna ya kuwapa jina zuri zaidi wahalifu ni dalili kwamba hata kwenye uchunguzi wa jambo hilo hatutakuwa wamoja.
mama porojo sometimes unaandika point
 
All in all kama wazanzibar hawataki kisiwa chao kiwe na jina baya wanapaswa kuwa mastari wa mbele kuwafichua watu wanaofanya matukio yanayopelekea eneo husika kuonekana lina matukio ya kigaidi.
Kabla ya kulalamika wazenji wanapaswa kujiuliza wameshiriki vipi kulinda amani ya zanzibar kwa kufichua wahusika kabla na baada ya kutekeleza matukio haya yenye kila sababu ya kupewa majina mabaya???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tatizo la zanzibar haliwezi kuisha kwa sababu viongozi wa serikali ni sehemu ya tatizo kwa nini wapelelezi watoke dsm kwani zanzibar wao si wana dola yao kwa nini wasifanye uchunguzi inaleta shaka!!!!!
 
Endeleeni kunywa pombe, kula rushwa, uzinifu holela, mkitegemea peponi ni rahisi kwakuwa mna picha ya mungu !

Dhambi haitakwisha duniani kama tukiamini kwamba dini ndio inatenda dhambi badala ya mtu binafsi. Dini inaweza kuzuia dhambi lakini ikatendwa na mtu pasipo kutumwa na dini yake.

Dhambi ya kunywa Pombe, rushwa na nyinginezo zipo mitaani tunaziona kwa macho yetu na zinafanywa na watu wa dini zote na wasio na dini.
 
Tanganyika mara ngapi hata kule Geita watu wameuliwa kinyama zaidi tena kwa udini Mbona Nchimbi hajasema kama ni Ugaidi? nyinyi Tanganyika akili zenu mbumbumbu sana, mauwaji popote pale yanatokezea ni jambo la kawaida tu, mnajaribu kutaka kuibadlisha zanzibar katika sura yake ya zamani ili muipe sura ya kigaidi Wazanzibar wapo macho tunazijuwa hila za Tanganyika., Waziri hawezi kutamka ujinga kama ule na asemee nchi yake kwanza Tanganyika., Kenya aliuliwa sheikh kwa risasi full mbona haikutangazwa kama Kenya ni nchi ya Kigaidi?? uvivu wenu wa kuto kujisomea mambo mukajuwa nini cha kuongea kwenye public media ndo sasa mnaropoka ropoka ujinga tu.,

Tungeweka jazba pembeni na kujadili swala hili kwa mapana tungefikia lengo zuri.
Kwa mfano, wewe kama mkazi wa zanzibar ni mara ngapi umeenda kufichua uhalifu unaotarajiwa kufanyika either kwa kukutana na vipeperushi vya uhamasishaji au kwa kuwajua wahusika??
Hii nguvu unayotumia kupinga tukio hili kuitwa la kigaidi ungeitumia kushiriki kulinda amani ya zanzibar kwa kutoa taarifa za kukamata wahalifu kabla au baada ya tukio kwasababu uko wazi kuwa wahusika wanajulikana mnaishi nao kwenye jamii husika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwanini waislam kote duniani wana vurugu na mapigano yasio isha?? hata katika nchi zinazoongozwa kwa sharia bado ni vurugu tu??? Kuna nini kwenye uislam??? mauaji yanayotokea Tanzania leo hii lazima kuna waislam wamehusika, je, uislam ni UGAIDI?? Je, Quran inasemaje kuhusu kuua??? Mbona baadhi ya waislam wanahubiri kuua wakristo???

kwa namna hii sioni tofauti ya ugaidi na uislam hapa duniani. Nakumbuka miaka ya nyuma jinsi Rais Mkapa alivyo shughulika nao zanzibar na watu kadhaa kuuawa na wengine kukimbila Mombasa. Niliumia sana kuona nchi yangu sasa inafikia watu wake wanakuwa wakimbizi, leo hii napata picha kamili ya kilichokuwa kikiendelea.hata kule Iraq sasa naamini Bush hakukosea,Maana UISLAM = KUUA=UGAIDI. NA HUU UGAIDI SHURTI UDHIBITIWE KWA NGUVU ZOTE.
 
Hii kauli ya Maalim Seif na nyingine niliyoisoma humu JF jana kwenye Thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Wazanzibar wamjia juu Nchimbi" ni wazi kwamba Zanzibar kuna kitu na ndiyo maana hawa jamaa wanajihami namna hii, kuficha ukweli usibainike. Sikutarajia kama makamu wa rais angetoa kauli kama hii, ikiwa ana busara za uongozi na anaitambua nafasi yake ameshindwa nini kumwita Nchimbi wakarekebishane huko ofisini? Nilimwamini Seif na kutamani siku moja awe rais wa Zanzibar, sikujua kama umejaa ubaguzi wa kidini na kukosa hekima hata chembe ya busara namna hii. Mzazi mwenye hekima hamwadibu mwanae hadharani.
 
Tatizo la zanzibar haliwezi kuisha kwa sababu viongozi wa serikali ni sehemu ya tatizo kwa nini wapelelezi watoke dsm kwani zanzibar wao si wana dola yao kwa nini wasifanye uchunguzi inaleta shaka!!!!!

Teknolojia katika upelelezi inatofautiliana duniani kote. Kukopa wapelelezi ni jambo ambalo haliepukiki. Wenzetu wana vifaa na uzoefu katika kupeleleza na hata kupima vitu visivyoweza kuonekana kwa macho au akili za kawaida za binadamu.

Kwa mfano, pikipiki waliopanda wauaji inatosha kupima DNA na kumtafuta muuaji na akapatikana.
 
Imani hii inahalalisha mauaji ya kishenzi na Seif ni Uamsho kauli zake zinadhibitisha hili
Who needs Zanzibar
jamani, Zanzibar si salama hata siku moja hasa kwa mkiristo na mtu wa
bara. Huyo mzee anasema tu huo ni ugaidi. Hivi ni nani anapenda
Muungano? mbona sielewi waacheni hao wa Zanzibar na sisi tubaki na
Tanganyika.
 
tajirijasiri Kwa hiyo Mkapa ni gaidi? mana ile january 27 aliwauwa wapemba kama kuku kwa risasi kwa ndege za kijeshi kama vile marehemu osama alivyokuwa akifanya kwa wamarekani alipolipua ya ma-pentagon.,
 
Last edited by a moderator:
inashangaza kuona tukio la znz kuhusishwa na ugaidi wakati mauaji ya huku bara yanachukuliwa kama ugomvi wa kidini hii ni dhulma kwa wazanzibar
 
zanzibar sio kama hawatakiwi wakristo,zanzibar wakristo walikuepo na wapo mpaka sasa,tatizo kubwa mambo yote yanaotokea yanatekelezwa kisiasa ili zanzibar ionekane mahali pabaya,na mwisho ya yote zanzibar isipewe mamlaka yake,kwani nyie wanyamwezi kwanini munan'gan'gania muungano?si muiachie zanzibar jamani?
 
Back
Top Bottom