Ina maana walipitisha tozo bila tafiti ya kina?Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228
Tengua kwaza ile kauli ya kwamba wasiokubaliana na tozo wahamie Burundi ni kauli ya dhihaka mnoWaziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228
Ajiuzuru kwanza ndipo aombe msamahaWaziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228
Sawa sawa mzee wa katiba mpyaRasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
Ni maneno tu haya ya kuwadanganya wananchi! matendo hayaakisi anachosemaWaziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228
Ova...Basi msameheni,amekubali
Tozo zitarekebishwa tuweni wavumilivu
Ova
Ndoto za mchanaNa mkinuna atakuwa Rais wenu mwaka 2030[emoji16]
Aludishe makato yote aliyotukata ndiyo aje na ngonjela za msamahaMsamaha una radha yake ya kuonwa jamani. Au mnasemaje?