Huyu waziri hajawai kuwa na akili na sijui alipataje degree ya uchumi....hata huyo aliekupa dhamana hana utimamu wa akili vizuri...ifike mahali serikali iweke watu wenye professional zao ktk wizara husika waweze kutatua changamoto kwani hii nchi haina wachumi kama kina Prof.Mussa assad, ambao wanaweza kutumia ujuzi wao kuweka mikakati ya ukusanyaji kodi? Mbona hii nchi imekuwa ikipelekwa kwa mazoea mda mrefu...huyu mwigulu anasema yeye hajakamilika kipindi anawajibu watanzania wahamie burundi alihisi hii nchi anaweza kuiendesha yeye bila kodi za wananchi,unakula pesa za wananchi,unzungukia pesa za wananchi uneshindwa kukaa ukafanya tathmini bhacy ukaenda kwa kina professor lipumba na wachumi kutoka vyuo vikuu ukaongea nao wakakupa namna ya kuweka tozo na kodi wewe unajifungia unakuja na matakwa yako na kejeli kwa watanzania..alooo we mwigulu step down kwenye hio wizara uneshatuangusha zaidi ya mata 1 nashangaa kwann mzanzibari na mkwer wanaimani na ww wakati hakuna unachofanya zaidi unauharibu uchumi nenda kwenu kalime alizeti usaidie kunusuru bei ya mafuta ya kula nchini pia ni mchango utakuwa umeutoaWaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba amesema yeye pamoja na viongozi wenzake Serikalini ni binadamu kama wengine, hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani kuhusu #Tozo.
Amesema “Katika kugusanagusana kuna maeneo tunakosea, sisi ni binadamu kwani tutashindwa kukosea? Hata ninyi kwenye familia zenu kuna siku mnakosea.”
Ameongeza “Katika kutekeleza kuna maeneo tutakosea, hata juzi Chama kimetupa maelekezo ya kuangalia utaratibu wa utozaji, lakini isiondoe mantiki ya ukusanyaji, nchi haiwezi kwenda bila makusanyo.”
Una hasira sana mkuuHuyu waziri hajawai kuwa na akili na sijui alipataje degree ya uchumi....hata huyo aliekupa dhamana hana utimamu wa akili vizuri...ifike mahali serikali iweke watu wenye professional zao ktk wizara husika waweze kutatua changamoto kwani hii nchi haina wachumi kama kina Prof.Mussa assad, ambao wanaweza kutumia ujuzi wao kuweka mikakati ya ukusanyaji kodi? Mbona hii nchi imekuwa ikipelekwa kwa mazoea mda mrefu...huyu mwigulu anasema yeye hajakamilika kipindi anawajibu watanzania wahamie burundi alihisi hii nchi anaweza kuiendesha yeye bila kodi za wananchi,unakula pesa za wananchi,unzungukia pesa za wananchi uneshindwa kukaa ukafanya tathmini bhacy ukaenda kwa kina professor lipumba na wachumi kutoka vyuo vikuu ukaongea nao wakakupa namna ya kuweka tozo na kodi wewe unajifungia unakuja na matakwa yako na kejeli kwa watanzania..alooo we mwigulu step down kwenye hio wizara uneshatuangusha zaidi ya mata 1 nashangaa kwann mzanzibari na mkwer wanaimani na ww wakati hakuna unachofanya zaidi unauharibu uchumi nenda kwenu kalime alizeti usaidie kunusuru bei ya mafuta ya kula nchini pia ni mchango utakuwa umeutoa