Waziri Nape aufuta mchakato wa Vazi la Taifa. Ashauri kila kabila litumie vazi lake

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Mhe. Nape Nnauye ametoa tamko la kuufuta mchakato wa kutafuta vazi la Taifa na kuagiza kila kabila litumie vazi lake.

Uamuzi huu alioutoa akiwa ziarani Singida, anasema umetokana na ugumu wa kupata vazi hilo, kukosa mifano ya nchi iliyofanikiwa kupata vazi kupitia mchakato kama wetu na zaidi ni enforcement ya uvaaji.

Akachekesha kwa kuhoji, "Kama uvaaji wake utakuwa ni kwa amri kama magwanda ha jeshi au ni hiari?"

Aliongeza: "Si rahisi kupata vazi la taifa, tutajikuta tunapata vazi la viongozi na si la taifa".

Hivyo, kwa kauli yake huo mchakato umefikia ukomo wake.
 
Waliokula pesa za Taifa je??!!! Watu wakibuni mradi wa wizi na kuiba mnawaacha tu??!!

Aliyesema serikali ya kibwege kakamatwa,aliyetukana watanzania ni wapumbavu na malofa analipwa mamillion na kwenda ikulu kila akijisikia!!!
 
Aliyesema wanaotaka mabadiliko ya kuzungusha mikono ni malofa hakukosea wala hakutukana
 
Good! Lakini vp kuhusu gharama zilizotumika kwenye hizo attempts!! Au ilikuwa moja ya njia za upigaji tu!
 
Waliziba masikio waendelee kujaza matumbo yao, eti vaz LA taifa upuuzi mtupu,
Ilikua inanipa hasira sana kwa jinsi walivyokuwa wakitumia nguvu nyingi katika suala hili wakati ni dhahiri halikua na tija na wala muelekeo wa kuja kufanikiwa....yaani mimi nilivyo proud na kabila langu eti mtu aje na kuniambia kuanzia sasa vazi la wamasai au la wasukuma au wagogo au watu wa pwani ndiyo limechaguliwa kuwa vazi la taifa...si upunguani tu huo!!!
 
Mhe. Nape Nnauye ametoa tamko la kuufuta mchakato wa kutafuta vazi la Taifa na kuagiza kila kabila litumie vazi lake.

Uamuzi huu alioutoa akiwa ziarani Singida, anasema umetokana na ugumu wa kupata vazi hilo, kukosa mifano ya nchi iliyofanikiwa kupata vazi kupitia mchakato kama wetu na zaidi ni enforcement ya uvaaji.

Akachekesha kwa kuhoji, "Kama uvaaji wake utakuwa ni kwa amri kama magwanda ha jeshi au ni hiari?"

Hivyo, kwa kauli yake huo mchakato umefikia ukomo wake.
Nape ni muumini wa kata k a.k.a mlegezo anapenda vingue vya ajabu ajabu vimin na vinguo vya kubana , rafiki yake Le Mutuz siku zote humsogezea michepuko yenye kuvaa vinguo vya ajabu .
 
Mkuu,hawa Nyumbu utawaweza basi, achana nao ni pasua kichwa hao.
Nyumbu ni ccm Nchi tokea 1961 haina maendeleo mmekariri Akili za Nape kuwa ipo siku mungu atatenda muujiza mjitambue, Lugumi kaiweka Serikali yoote Mfukoni hamna pa kuchomokea endeleeni kuvaa Milegezo mpaka mnazeeka.
 
Kuna makabila hawakuyaacha mavazi yao wanayapenda kiasi cha makabila mengine kuyavaa na hata kutumika kama brand za bidhaa za nguo hizo.
 
Back
Top Bottom