M
Mhe. Daniel Nsanzungwako naibu waziri wa Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni amepata ajali alipokuwa anaelekea arusha kwenye mkutano.
Mhe. Daniel alipata ajali hiyo Kondoa mkoani Dodoma baada ya kugonga kundi la ngombe likikatisha barabara.
Mhe. Daniel na devera wake hawakuumia, ila Gari lake limeharibika vibaya.
Mhe. Daniel alikuwa akielekea jijini arusha kuhuthuria mkutano wakisekta wa Afrika Mashariki kuhusu maswala mbalimbali ikiwemo uandaaji wa kamisheni ya kiswahili na maswala ya utamaduni
Mhe. Daniel amefanikiwa kuendelea na safari yake baada ya kupata Gari ingine.
Habari zaidi, tusubiri magazeti ya kesho. Thats all i have for the day!
Nasikia na hii pia ilitakiwa auwawe Zitto, sio ng'ombe.....siasa za tunguli.
Kitila na Mzalendo, vipi wakuu?
Quick recovery wakati hawakuumia? Au quick recovery ya shock ya ajali? Au ndiyo kumchulia huko!!!
yawezekana...ha haha haha ha sina mbavu mie..labda tuambiwe na zitto alipita muda gani after ajali...maana bongo hakuishi matukio..full usanii
Kitila na Mzalendo, vipi wakuu?
Quick recovery wakati hawakuumia? Au quick recovery ya shock ya ajali? Au ndiyo kumchulia huko!!!
Mtaalamu, wewe subiri tu utasikia Zitto au Nchimbi wanahusika katika hii ajali ya ng'ombe. Wala husicheke utakaposikia Zitto alikuwa malishoni na hao ng'ombe muda wanapata ajali, au Nchimbi kagombana na Nsanzungwako!!!
ajali hiyo inambnisha serikali itaingia hasara kwa kununua shangingi lingine la million 100,inabidi tusikitike kwanza
Mkuu kama inawezekana badilisha jimbo , hapo ubungo umeingia choo cha kike na utaangukia puaduh, mbona kazi mwaka huu na hizi ajali! Pole sana Mhe, we wish you speedy recovery.