Mchungaji Daniel Mgogo apata ajali

Mr kiuno

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
813
1,000
Mchungaji Daniel Mgogo mchana wa leo amepata ajali maeneo ya Korogwe Mkoani Tanga wakati akielekea Dar es Saam akitokea Arusha akiwa Peke yake lakini Mungu ni mwema Hajaumia Wala hajapata majeraha yeyote tunamshukuru Mungu licha ya Gari aliyokuwa akiendesha kuharibika vibaya

Ashukuriwe Mungu atendaye Makuu
1622705729933.png
 

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,334
2,000
Malipizi na visasi vya yule mkuu wa dunia hii vimeshindwa.Ktk ulimwengu wa kiroho,ameacha impact huko alikotoka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom