Waziri Mwigulu na Mkuu wa mkoa Amos Makalla msimshambulie Lissu, shambulieni hoja zake

Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu
Kereng'ende
 
Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu
Kwa hiyo huo 👆 hapo ni upupu, kama wa Lisu ni upuuzi?!
 
sema we ndo uliechoka, usinijumlishe na mm tafadhali. Maana hta we s lolote kwenye nchi hii
Hata wewe umemchoka ndiyo maana kila akiitisha maandamano unadharau , hauendi. Alitoa wito tuingie mitaani, wote ukiwemo wewe hakuna aliyetii. Watanzania wote tumemchoka.
 
Hao wote, wamjumlishe na Ndugai, wote kwa pamoja, uwezo wao ukiungamishwa, watakuwa na bahati sana kama watafikia angalao 60% ya uwezo wa Lisu.
 
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.

Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni.

Lakini kwa uchaguzi ule ulivyokua mlitegemea Lissu mbunge amtoe wapi?

Wekeni mizani sawa alafu nendeni kwenye uchaguzi ndio muanze kumshambulia Lissu.

Mwigulu nae hakupaswa kuungana na mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu, Bali hoja zake lakini nilichoona mmejibu juu juu tu.

Mwigulu anasema Kuna mikopo mmesaini ya world bank, Ila hujasema ni kiasi gani.

Lissu alikua na hoja na ni haki yake kuhoji.

Kama sasa mmeanza kushindwa kujibu hoja zake akiwa huko, akirudi?
Wajibu hoja sio kumushambulia mtu na huyo wazir wa fedha anajua uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguz hawez kushinda uchaguz wowote ule
 
Back
Top Bottom