Waziri: Mwenye zawadi kwa Taifa Stars awasiliane na Wizara

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,776
"Naomba Mdau yeyote mwenye zawadi kwa Taifa Stars awasiliane na Wizara ili tutambue zawadi ya mchango wa hamasa kwa Taifa Stars, hongereni sana Taifa Stars na Watanzania wote kwa hatua hii tuliyofikia kwenye mchujo wa kufuzu”——— Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa
 
Hivi Taifa Stars ni ya Wizara ya Michezo au ni ya Balaza la michezo au ni ya TFF? Nafikiri mwenye timu ndo atambue zawadi, kama ni wizara basi haina shida.
 
Mnazokata kwenye tozo hazitoshi kununua zawadi,jamani mnataka mtukamue mpaka damu?
 
Back
Top Bottom