Waziri mwenye dhamana, ingilia kati AJIRAPORTAL

Kwa upande wa equivalent qualifications wamechemka ila mengine tuwapongeze
Look at this reasonable man!

Wanaudhi sana hapo yaani... equivalent ingekuwa inazingatiwa pia cause unakuta post ina taka watu wengiii ila course waliyoweka ni moja hadi tatu tu... kwaio wale wenye equivalent qualfs wanakuwa eliminated dah inaumaaa
 
Ni kizaa zaa.

Hivi pale kwenye professional qualifications unajaza nini?Nisike nikakosea halafu kufuta ikawa haiwezekani.
 
Look at this reasonable man!

Wanaudhi sana hapo yaani... equivalent ingekuwa inazingatiwa pia cause unakuta post ina taka watu wengiii ila course waliyoweka ni moja hadi tatu tu... kwaio wale wenye equivalent qualfs wanakuwa eliminated dah inaumaaa
poleni Sana wakuu. ukiwa na tatizo, dukuduku au shida yeyote tumeni ujumbe kueleza shida zenu kwa katibu mkuu , katibu@ajira.go.tz. ujumbe utamfikia kirahsi zaidi.
 
Ajiraportal imekua kilio kikubwa kwa vijana wengi wanaotumia mfumo huo kuomba kazi. Kuna changamoto zinazojitokeza na pindi mtu anapohitaji utatuzi wa kimfumo, hakuna msaada. Namba za simu zilizowekwa na ajiraportal kuhudumia wateja ni aidha hazihimili wingi wa watu wanaotumia mfumo huo kwa sasa au wahusika hawafanyi kazi ipasavyo. Mfano hai, nina wiki ya pili sasa kila siku napiga ajiraportal ili waondoe cheti nilichokosea ku upload ila sijabahatika kuongea nao. Muda wote namba inatumika, haipatikani na ukiwapata hewani simu haipokelewi na ukirudia kupiga inatumika. Kuna wakati mtu unakaa masaa matatu mfululizo unapiga simu bila mafanikio. Kwa sisi tuliopo nje ya Dodoma sasa inatulazimu kufunga safari kwenda ofisini kwao.

Mfumo hauruhusu kuondoa cheti kama ume upload cheti ambacho siyo sahihi mfano hakikuwa certified na wakili au academic qualification kujirudia haikubali kufuta ni mpaka wafute wenyewe.

Jingine ni mfumo kutoruhusu equivalent qualification ku apply hatakana post inaeleza sifa husika.
Mh waziri, hiki ni kilio cha vijana wengi na hakuna namna nyingine zaidi ya kukuomba wewe uingilie kati hii idara. Ukiwasiliana na tume ya ajira au utumishi wanasema wahusika ni ajiraportal, watafute kwenye simu au jenda ofisini kwao.
Mh, tunaomba utatuzi wa kero hizi.
katibu@ajira.go.tz. Funguka Tatizo lako directly kwa katibu mkuu. mchane live ikiwezekani uwatusi kabxaa. kunung'unika huku jukwani hakutasaidia lolote zaidi kuja kuhuzunishwa wale wapuuzi wanaojihisi kwamba wao wametoboaga maisha. Nitawafutie na email pamoja mawasiliano ya watu wizara ya kazi ajira. mfunguke dukuduku zenu... directly kwa wakubwa
 
Hapo kwenye equivalent qualifications hata Kama post unahitaji lkn wao hawaweki na hawaruhusu kuomba
katibu@ajira.go.tz. Funguka Tatizo lako directly kwa katibu mkuu. mchane live ikiwezekani uwatusi kabxaa. kunung'unika huku jukwani hakutasaidia lolote zaidi kuja kuhuzunishwa wale wapuuzi wanaojihisi kwamba wao wametoboaga maisha.
 
Kubadili cheti au document yoyote kwenye mfumo huo ni rahisi sana. Tatizo inaweza kuwa uwezo wako wa teknolojia ni mdogo!

Over.
katibu@ajira.go.tz. Funguka Tatizo lako directly kwa katibu mkuu. mchane live ikiwezekani uwatusi kabxaa. kunung'unika huku jukwani hakutasaidia lolote zaidi kuja kuhuzunishwa wale wapuuzi wanaojihisi kwamba wao wametoboaga maisha.
 
Oooooops hatimaye nimemaliza zoezi.Ila ilifika 95%.But sijatumiwa feedback Yoyote
 
Hivi kweli hiki chombo mhimu ya Ajira nchini kina Wabobezi wa IT?
Yaani Website yao Iko hovyo sana linapo kuja suala la ku apply. Website, appearance ina vutia kwa nje. Ila sasa ingia ndani ktk ku chakata taarifa, ni website ya hovyo!!
Inawezeka kabisa kutokana na poor design ya Website hii, vijana wengi wenye sifa wakawa wana kosa ajira kisa kuondolewa na mfumo mbovu automatically. Mfumo utamwambia hana sifa, haja timiza vigezo, nk ili hali vigezo vyote anavyo. Baadhi ya matatizo niliyo kumbana nayo leo 13/06/2022.

Mfano 1. Nafasi za LGTI -Assistant Lecturers Accounting & Finance. Eti Qualifiaction ni Master's Degree in Law? Law na Accounting uka ona dunia gani? Hawa jamaa wanaweza kuwa wana fanya makosa haya kwa makusudi ili watu washindwe ku apply na wachukue watu wao kimya kimya au part time wa chuo. Kwa kosa hili, kila ata kae omba hiyo kazi. System ita mjibu hana Sifa!!

Mfano 2. Post ime andikwa applicant Must be a holder of Master degree in Finance. Mtu mwenye Bachelor degree in Accounting & Finance na Master of Business Admninistration (Specialization : FINANCE) ila website yao ina mkataa eti hana vigezo. Hii ina onesha ni jinsi gani website yao ilivyo karirishwa!!

Mfano no 3. Ku search Key words ya Kazi haikubali. Ila inakubali tu key word ya Taasisi ina maana kama taasisi ina kazi 200 upitie page zote kuperuzi kazi 1 baada ya nyingine, kwa sababu heading za kazi ziko hidden. Ku apply ambako kunge tumia dk 30. Una tumia siku 1 hadi 2.
Mfano 4. Kuna tatizo la Backward. Mfano ume click Vacancies page 32. U click kusoma moja wapo ya kazi ktk page 32.e.g. row 1. Uki rudi nyuma kidogo ili uende row 2, kosa!!! Ina kutoa moja kwa moja toka page 32 hadi page 1 ya Vacancies(yaani home page ya Vacancies). Kwani hawawezi kuandika openly Taasisi...then row 1 kazi namba 1 jina la kazi namba 1. Then, Row 2 kazi namba 2 jina lake...nk. ili mtu aende direct. Yaani wame fanya ku apply kazi nako kume kuwa kama kutafta kazi!! Unnecessary disturbances.

Mfano 5. Issue ya GPA. Una kuta kazi inataka 3.5 au 3.8 ila ww una 4.0. masters wana taka GPA ya 3.8 au 4.0 ila ww una zaidi ya hizo. Vyuo vingi vya nje Master's au PhD hawana mambo ya GPA ni Distinction, Credit au Pass (au A, B+, B-, C na Pass). Designer wa hii website na maboresho yake ina onesha yupo local sana. Hiyo ni kazi ya Recruitment committee siyo Website. Vyuo vinajua 3.5 to 3.9 ni equivalent na upper second class, nk.
Kwanza hiyo system nime ona haina huwezo wa kusoma GPA ktk vyeti. Hii kazi ifanywe na selection team.

Mfano 6. Kazi ni ya Rector II Financial Management-(ADEM). Requirements ni B. Education in Commerce, or Bachekor of Arts in related fields. Pia uwe na masters in related fields. Mtu una B. Arts in Business (Accounting &Finance) na MBA ( Finance) na ufaulu wote wa GPA unao. Mfumo una kwambia huna vigezo. Duuh. Hii portal ime kuwa designed na mtu local sana. Ili paswa Key words za Programme/Course ndio itumike ku screen. Sasa wao uta kuta wame limit Education!

Tuna omba kama kuna technical problems mseme pia na museme na mu extend application deadline na mrudishe kwenye default settings , Au kama na ninyi mmerecruit watu wasio na sifa ya kazi zao, nanyie mtangaze kazi zenu tuziombe upya. Deadline za kazi zinafika. Ila ku appy kuwezekani.
 
Nisaidieni namna ya kuweka passport size kwenye profile portal yangu ya utumishi, nikiweka inaload tu bila mafanikio.
 
Sjui n kwa nn wanakwepa jukumu lao la kuapdate system every after certain time. Hawa developer wao nna shaka nao
 
Back
Top Bottom