Leo nikiwa hapa Airport Dar. Mwanafunzi mmoja aliyekuwa anaelekea kaja na Samaki wakakuta 5, matokeo yake wakaanza kumuomba kibali cha kupitisha Samaki hao. Masikini huyu mtoto akakosa cha kujibu, wakaanza kumtishia kulipa faini ya laki 3. Nilikuwa nawaangalia Kwa ukaribu, akawapa hela sijui ngapi wakamuacha
Hii ni aibu na fedhea kubwa sana Kwa taifa letu. Kwa tabia hizi, tutawafukuza wengi kuja Tanzania. Samaki wakavu watano mtu mpaka apate kibali? Serikali ya CCM aibu sana.
Hii ni aibu na fedhea kubwa sana Kwa taifa letu. Kwa tabia hizi, tutawafukuza wengi kuja Tanzania. Samaki wakavu watano mtu mpaka apate kibali? Serikali ya CCM aibu sana.