nini kuvaa kuna mmoja amemeza kabisa hirizi iko tumboni miaka nenda rudi ..wanamsema kweli kwenye magazeti kwenye NEC ,lakini wapiiiiii anataka kuchukua form ya uraisi 2015..
Mzee Ben Bingwa wa vyote, kuvaa cheni, Pombe sana, Ufisadi (Kumbuka EPA ameiruhusu Ben, Net group solution iliyofilisi TANESCO ni ya Ben, Mali nyingi za serikali alizigawa kwa mama Ben, Kiwira nk). Ben mwisho usitukumbushe... wacha sisiem waende tu wanatutia uchungu!!!