kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Wamejitolea wamelazimishwa?Dr. Bashiru is very right, hakuna msanii aliyehongwa, wasanii wote waliojitokeza ni wamejitolea, hakuna anayelipwa!.
Na watazamaji na wahudhuriaji, pia wote wamejitokeza kwa mapenzi yao kwa CCM, hakuna aliyelipia kiingilio, ni bure.
Kitu ambacho I'm not sure ni stage, PA na live ya 12 hrs ya TBC.
P