Waziri Mwakyembe alionya wasanii kujihusisha na siasa

Dr. Bashiru is very right, hakuna msanii aliyehongwa, wasanii wote waliojitokeza ni wamejitolea, hakuna anayelipwa!.

Na watazamaji na wahudhuriaji, pia wote wamejitokeza kwa mapenzi yao kwa CCM, hakuna aliyelipia kiingilio, ni bure.

Kitu ambacho I'm not sure ni stage, PA na live ya 12 hrs ya TBC.
P
Wamejitolea wamelazimishwa?
 
Halafu tamasha lenyewe ni kama lilibuma, hao wasani walikuwa wanasema tu mara mikono juu, peleka kushoto kulia... sijui mara oyo oyo oyooo... watu kimya!

Kila mmoja anasema piga kelele kwa Magufuli, yaani ilikuwa ni vituko kwa kweli!

Mwisho wa siku wakaishia kuitana mabangi na kupigana mitama!!
Kama ulielewa maana ya lile tamasha basi pale limekuwa na mafanikio makubwa sana. Hawakuitwa watu kuja kucheza pale. Ndo maana walikuwa wanakatazwa wasisimame. Tatizo ni mzuka wa wasanii na hata watazamaji.
 
Back
Top Bottom