EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Wewe pia inaonekana ni opportunist tu. Most likely you didn't have a damn clue about what you wrote earlier and were apparently blindly supporting till now. Unfortunately, its too little, too late. We moved on from that earlier point.
Ni kufahamishana na kuelimishana tuu.
Kama kuna sehemu nimekosea niko tayari kusahihishwa pia.
Opportunism itanipeleka wapi? I'm not that sort of person.
Wewe mwenyewe ndiye uliyeweka link, tena ukatupa na specific pages za kusoma.
Nimesoma hizo specific pages na kukuta hayo niliyoandika. Au ulitaka na mimi niseme "Zimbabwe" badala ya "Zanzibar"?
I wanted to put my own source which is more authoritative lakini nikaamua kutumia hiyo yako kukujibu.
Probably wa kumlaumu siyo mimi bali hiyo link uliyotoa mwenyewe particularly the specific pages you insisted that we should read.
Kusema it is "too late" ni excuse tuu. Kuna posts za tokea mwaka 2006 humu bado zinajibiwa leo ndiyo sembuse post yako ya jana?
Next time try to find a more authoritative source maana hata hiyo article yenyewe inajichanganya
Kwa hiyo umekubaliana na niliyosema kwa mujibu wa link na specific pages ulizotoa?
Kweli wabongo hatupendi kujisumbua. Hebu kaperuzi kidogo huko utuletee jibu sahihi na source.
It is not too late.