Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena
[/MEDIA]
Duu nadhani semina elekez haikupita kwakeKumbe waziri wa mifugo na uvuvi anaweza kuwafukuza kazi askari......nmejua Leo mie.
Kelele zote ilikuwa ni gia ya kutaka naye aonekane. Na hili ni tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu. Watu wanapewa uwaziri kwa kuangalia jinsi wanavyopiga kelele na sio kwa merit. Majirani zetu waliliona hili ndiyo maana wabunge ni wapipa kelele wasioweza kuwa mawaziri na mawaziri ni watu wanaowajibika kwa bunge toka nje ya bunge.Hivi mtu ukipewa Uwaziri akili zinafyatuka siyo! ninamkumbuka huyu jamaa wakati akiwa Mbunge wa kawaida alivyokuwa anajinasibu kutetea wananchi wake!
Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena
Na amesema askari waliohusika kamawasingechoma moto vifaranga vile, basi angewafukuza wote
Hii yoote ni kumfurahisha mkuu!Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena
Na amesema askari waliohusika kamawasingechoma moto vifaranga vile, basi angewafukuza wote
Kifuata sheria ndo roho mbaya? Kabadilishe sheriaHii ni zaidi ya roho mbaya, yaani Serikali imekuwa kama mtu binafsi duuh..
Acheni siasa kama hao vifaranga wangekuwa na ugonjwa wowote mngesema serikali sio makini. Sasa mnalalama. Ujinga sana. Prevention is better than cure. Iko siku mtaelewa.Hivi mtu ukipewa Uwaziri akili zinafyatuka siyo! ninamkumbuka huyu jamaa wakati akiwa Mbunge wa kawaida alivyokuwa anajinasibu kutetea wananchi wake!
Wanachuki na nani na wanalipiza kisasi kwa nani?Nchi ya viongozi wenye chuki na visasi...
Wangekuwa na ugonjwa kumbe hawana!!! Sababu ya kuwachoma ni nini?@ Basi hata ng'ombe waliokamatwa wangewachoma moto na si kuwapiga mnada.Acheni siasa kama hao vifaranga wangekuwa na ugonjwa wowote mngesema serikali sio makini. Sasa mnalalama. Ujinga sana. Prevention is better than cure. Iko siku mtaelewa.
Acheni siasa kama hao vifaranga wangekuwa na ugonjwa wowote mngesema serikali sio makini. Sasa mnalalama. Ujinga sana. Prevention is better than cure. Iko siku mtaelewa.