Waziri Mpina: Wasingechoma moto vifaranga ningewafukuza wote

Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena

Na amesema askari waliohusika kamawasingechoma moto vifaranga vile, basi angewafukuza wote


Hapoa walishapata oda toka kwa mukulu.
 
Mpuuuzii huyu dogo...anaendekeza ukabila...alikalia majungu pale kwa VP...amewafitinisha kweli kweli!!....si aliagiza sampuli za maji yanayomwagilia michicha itolewe hadharani aliishia wapi?? Ukanda na ukabila awamu 5....ndio zaidi yotehakuna busara wala akili.....puuzaaa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom