Waziri Mpina: Wasingechoma moto vifaranga ningewafukuza wote

Binadamu wanajisahau sana alafu akitoka hapo anaenda kuswali au anaenda kanisani sheria hizi tumezitunga sisi binadamu ila kuna time inabidi uwe na ubinadamu ivi kutoa roho vifaranga mia sita bila hatakusibitishi kama vinamagonjwa kiukweli huku nikujisahau ila malipo watayapata hapa hapa duniani
 
Kuna mtu anatuatawala from somewhere revenging thinking atawin our economy and power. God bless Tanzania
 
Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena

Na amesema askari waliohusika kamawasingechoma moto vifaranga vile, basi angewafukuza wote

Sikujua kama huyu jamaa ni bogus kiasi hiki....au hayo mapete makubwa ndo yanakutia unajisi akilini??? Well,......ufukuze askari kwani umekuwa IGP au waziri wa mambo ya ndani? Askari anafukuzwa Nazi kisiasa ivo? Your brain must be stressed
 
Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma moto vifaranga 6000 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege na kuteketeza mtaji wa aliyevileta ili kama kuna njia nyingine alizokuwa anatumia kuingiza vifaranga kutoka nje ya nchi hawezi kurudia tena

Na amesema askari waliohusika kamawasingechoma moto vifaranga vile, basi angewafukuza wote

Hayo magonjwa alithibitisha nan
 
Sijui kama East africa community ita dumu,yeye aliambiwa kenya kuna ugonjwa?sasa si tujitoe EAC,hii nchi kuna magojwa ya nafsi,kufilisi wafanya biashara,wafugaji na wakulima inaifurahisha sana watumishi wa serikali,ubepari haiwezekani hii nchi turudi ujamaa tu,faraja kubwa ya viongozi ni watu kuwa maskini.
 
Ama kweli CHADEMA ni wasaliti, hawana uzalendo hata chembe. Kifo cha mafuacya ndege kibstusha, tungepukutika wote kama panzi. Kama hawo kuku wangeachwa, wasingechomwa hasara kwa nchi yetu haipimiki. Wanawatetea? Si ndiyo hawa hawa walitusaliti na ndege ya Bombardier wakawapa maadui wetu ushauri ba nyaraka za kisheria wakakamata ndege yetu? Hawa ni wenzetu kweli, au ni Wakenya kusirisiri?
 
Mmejawa na roho mbayaaaaaa

OvA
 
Chomeni na ng'ombe. Kwani ndigana nayo si hatari? Tujue mnajua kufuata sheria. Hujui usemacho
 
Kumbe unaweza kuanzisha kiwanda kisha mtu akaja kuchoma na kuhakikisha mtaji wako unateketea.
 
Back
Top Bottom