Huu ndio udaku wa ze ut@mu... haufai hapa kama huwezi dare talk openly, save it for your dinner
Hivi mr kiroboto na fundiaminy ni mapacha wanaofanana nini? Kwakuwa they think alike...
Hawa ni vibaraka wa zeutamu,wamekuwa na mkakati wa kulifanya hili jukwa liwe ze utamu,lkn wakae wakijua hapa kuna MAGREAT THINKERS wa kutambua technique zao
.
Hawa ni vibaraka wa zeutamu,wamekuwa na mkakati wa kulifanya hili jukwa liwe ze utamu,lkn wakae wakijua hapa kuna MAGREAT THINKERS wa kutambua technique zao
..washindwe na walegee kabisa.
Hivi mr kiroboto na fundiaminy ni mapacha wanaofanana nini? Kwakuwa they think alike...
kwa hiyo?
unataka wanajamii tufanye nn? mbona kule Bondeni ni halali?
Nimepata moja nyeti. kuna waziri wetu mmoja (Jina na Wizara nahifadhi) anapenda sana ndogo ndogo. hanywi pombe na ni mtu wa dini sana. Husafiri sana uswisi, marekani, adis ababa kwenye mikutano. Uswisi nasikia ana demu kabisa. namhurumia sana mke wake. Waziri huyu anatokea sehemu za mbeya....haya wana jamii...nimewapa hint...
Hapa kuna mambo mawili tu kukuhusu wewe:.Nimepata moja nyeti. kuna waziri wetu mmoja (Jina na Wizara nahifadhi) anapenda sana ndogo ndogo. hanywi pombe na ni mtu wa dini sana. Husafiri sana uswisi, marekani, adis ababa kwenye mikutano. Uswisi nasikia ana demu kabisa. namhurumia sana mke wake. Waziri huyu anatokea sehemu za mbeya....haya wana jamii...nimewapa hint...