Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Unataka kuniambia sheria zote zilizowekwa nchi hii zinafuatwa?
Hivyo vifaa vikisamehewa.serikali ita pata hasara ipi.?
alafu kodi bil 1 na kitu.
Makonda atazitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni Bashite alipe kodi. Acheni kutumika kwa Bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Mkuu hiyo BILL OF LADING,ndio nini kwani mwanzoni nilidhania labda ulikosea spelling ila naona kila sehemu bado unalirudia tu?!!!
 
Hata mimi siijui bill of lading ila naijua bill of landing
Zote sawa tu ni neno moja ukisema Lading Na Landing yote sawa.Ila hilo lako la Landing ndio kingereza sahihi sababu ni bill of Landing yaani bill ya hadi kuufikisha mzigo kwenye Land yaani Ardhini ilipo ardhi ya nchi kavu.Kufika nchi kavu au Land waweza tumia meli au ndege .Ndege ina u Land huo mzigo Na Meli ina u Land huo mzigo.Bill yake inatakiwa iitwe BILL OF LANDING sio hilo neno koko la Bill of Lading.Waingereza kingereza hawajui vizuri.Wewe uko sahihi.Kwa mamlaka ninayojipa mwenyewe nakutunuku PhD in English Na ruksa kwenda kufundisha vyuo vikuu vya uingereza kingereza wakikataa waporomoshee matusi ya nguoni rudi Tanzania ufundishe kingereza.
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Shids ni kwamba vinaenda kwenye shule gani? Maana kama ni kua amend msnifest nadhani ingeshafanyika itakua makonda anataka viwe vydke binafsi badala ya kua vya ofisi maana vikiwa vya ofisi mikono ya watu wengi itahusika na itakua ngumu kuvipiga juu juu
 
Fikiria RC gambo nae analeta kontena 40 kwa ajili ya shule za wamasai ma RC wengine pia etc nini kitatokea?
 
Wacha hisia na kusingizia
 
wewe mwenyewe ni muathirika wa samani mbovu ajabu hutaki kua na ofisi nzuri

Hivi kapombe hizo kontena 20 zinadaiwa kodi kiasi gani.??

hebu weka hizo garama hapa,ikiwezekana sie wana JF tumchangie.!![emoji383]
 
Mleta mada acha kujidhalilisha, kama ni upumbavu basi ubaki ktk family level yenu badala ya kuuleta humu. Aidha unatumiwa lkn kutokana na upumbavu wa kwenu (kurithi) hujui kama unatumika. Nakushauri uwe makini na post zako.
 
Povu
 
Nimeandaa sherehe pale ambapo Dkt Ashatu Kijaji, mwanamke wa shoka atakapopewa Uwaziri kamili na huyu Mh. Mpango akabaki na mpango wake kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…