Makonda ayakana makontena ya Paul Makonda bandariniNi dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Shule yako we mwenyewe ni google...huna jipyabill of lading
noun
a detailed list of a ship's cargo in the form of a receipt given by the master of the ship to the person consigning the goods.
Go back to school ......in Trump's voice
MPAKA ALETE CHETI CHA KUZALIWA...CHAKE NA MDOGO WAKENi dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
ikishindikana utapelekwa tamisemi ugawiwe kwenye shule kongwe nchi nzimaKama mzigo umewasili bila ya yeye kupewa nakala za importation dpcuments,lazima akane
Hata hivyo haiondoi umuhimu wa huo mzigo kupelekwa mashuleni
analotumia sio lake amekopa.sikuelewi kamanda mkopo umetoka wapi tena
sawa tuikishindikana utapelekwa tamisemi ugawiwe kwenye shule kongwe nchi nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
funguka amekopa ninianalotumia sio lake amekopa.
ila atalirejesha kwa muhusika pindi akimaliza kulitumia[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bill of lading ndiyo imeandikwa kuwa Makonda ayakane makontena at first, then baadae ayakubali na kuanza kulialia akwepe KODI? Mkuu, KODI ilipwe achukue mzigo wake, period! Tukianza huu utaratibu wa kila kiongozi kuwatumia diaspora kuleta vitu free of tax, tutakuwa nchi ya ajabu sana.Unaijua bill of lading wewe?
Hata ardhiniHahahahah eti ndege haifanyeje...
Au ulimaanisha haipigi reverse angani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo samañi ni kitu gani bhana, vichwa vya train vilikataliwa na serikali ikavinunua, sasa hapa tatizo ni nini?Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Pale hakuna madeski wewe. Kuna executive chairs and tables.Acha kujitoa ufahamu dada
Container 20 za madeski ya shule makonda atapeleka wapi?
Mpango si alitaifisha almasi ya mwadui?ataifishe basi na madawati,watoto wetu na walimu wanasubiri
sawa una tatizo na hiilo?
Jamani Makonda kafanya hivyo kwa manufaa ya wana Dar es salaam , tunaomba asaidiwe ili elimu iende mbele , tuache kukwamishana serikali yetu ni moja koteina hizo zikiuzwa bado hela itaenda serikalini kununua madawati kulipa walimu na kujenga shule pia. Muheshimiwa Rais ingilia kati suala hili maana tutakacho ni maendeleo tu . Serikali isimamie kuangalia hizo samani zinaenda katika shule gani na usiwepo mchezo mchafu.Huko ndiko kujitoa ufahamu
Executives chairs ndizo wanaenda kukalia wanafunzi wa DSM?sawa una tatizo na hiilo?
watatumia walimu,hutaki?