Waziri Mpango Piga kazi, achana na average minds!

Waziri Mpango Piga kazi, achana na average minds!

Uyu Mpango ndio mweupe kabisa. Bora ata Msukuma ambae ajamaliza darasa la 7.
Eti kodi ya mihamala ya simu na benki italipwa na makampuni badala ya mtumiaji,hadi Gavana akaja kumrekebisha. Ovyo sana
 
Tunalo tatizo la kiuchumi (hili yeyote anaye perticipate kwenye uchumi wetu lazima awe ameliona). Kwamba tatizo limeletwa na Dr Mpango, hapana kabisa. Yeye kwa kweli atakuwa "bangusilo" tu. Natamani kumsikia Prof Ndullu tena na takwimu zake. Habari ya mabenki tayari imeanza "kuwavua" nguo.

Tusubiri? Niliwahi kusema kabla, hili la uchumi hakuna namna unaweza kulificha (kwa takwimu) maana people will just feel it.

We are On Top In Afrika!
20161029_mac041.png
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yaani mbulula kweli unashida yaani kumaliza hiyo form four,tayari nawewe msomi umekuwa,unashangaza watu ku support upuuzi,unaona hali ilivyo mabenki yanashindwa kuzalisha faida,mizigo bandari hali tete,na hata hiyo sector ya kilimo ni majanga hakuna future plan,bado una lete porojo za jikoni,na saloon hapa bwege wewe.


We are on Top, Babe!
20161029_mac041.png
 
sio kila mtu anaishi kwa mshahara wengine wanaishi kwa passive income wanawekeza ili kupata faida, their money working for them.

hii statement ya kusema watu walikua wakiishi kwa dili ni kichaka cha kuficha kufeli kwa serikali.

serikali imeshindwa ku-stimulate economy, shughuli za uchumi nyingi zimedorora nyengine zimekufa kabisa. hatuoni vipaumbele vikianishwa na kufanyiwa kazi zaidi ya matamko ya kila siku, nchi inaendeshwa kama dereva hajui anaenda wapi

tunaona mabenki yanavyopata hasara, wanafunzi kukosa mikopo, ajira kusitishwa n.k hizi si ishara nzuri kwa uchumi


Check it out baby, Tuko JUU ya Afrika tunakuwa kwa 8%!

20161029_mac041.png
 
Mleta mada ni kama mbuni anayeficha kichwa chini ya mchanga kumbe mwili mzima unaonekana.
 
Tungekuona wa maana kama ungeshughulika na hoja za Bashe, ukatuonyesha uongo wake kwa kuonyesha ukweli. Lakini, kwa ulichokiandika hapa hata Dk Mpango na JPM wamekudharau sana!


Haya sasa nimeamua kumjibu Bashe, Zito &Co. kwa datas, leta na wewe datas za Bashe, Zito & Co.!

20161029_mac041.png
 
Maisha yakiwa magumu ndo akili inaongezeka,endelea kukaza mpk tuheshimiane vzriiiiii
 
We are On Top In Afrika!
20161029_mac041.png
Takwimu safi sana hizi. Lakini zinawafaa wale ambao ni "above-average minds". Sisi "average minds" hatuoni "uchumi" kwenye takwimu kama nyinyi bali kwenye shughuli zetu za kila siku.
 
Takwimu safi sana hizi. Lakini zinawafaa wale ambao ni "above average minds". Sisi "average minds" hatuoni "uchumi" kwenye takwimu kama nyinyi bali kwenye shughuli zetu za kila siku.


Ndiyo maana mnatakiwa m sit back, relax and watch the show, ninyi subirini matokeo tu kwa maana hamuwezi kuelewa hii shughuli pevu!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ktk hoja ya Zito,ukweli wa Dr Mpango unajidhihirisha wapi? Kwenye kweli weka ukada pembeni we mtoa post
 
Halisi Halisi iliyoko mtaani haiitaji mtu aende kusoma shule iko waz waz tu mkuu!!!!
 
Halisi Halisi iliyoko mtaani haiitaji mtu aende kusoma shule iko waz waz tu mkuu!!!!


Usijali hilo linajulikana na ni lazime iwe hivyo, kwani hii wanaita transition period au kwa kikwetu wakati wa mpito, hivyo endelea tu kupiga kazi na mafanikio utayaona!
 
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!

Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!

Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Umefilisika kiakili braza...
 
Back
Top Bottom