Waziri Mpango Piga kazi, achana na average minds!

Waziri Mpango Piga kazi, achana na average minds!

Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!

Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!

Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!

Hii ni habari ktk jikoni kabisa datas za Uchumi wa Afrika 2016, TZ yetu On Top!
20161029_mac041.png


Apige kazi na afuate ushauri wenye tija.......kusikiliza kuna umuhimu wake....
Ushauri una umuhimu kama kupiga kazi kulivyo na umuhimu
 
Utakeusitake Magu ndio mpango mzima. Mmetuibia sana, kilasiku mnakwepa kulipa kodi sasa kaja mtu ambaye watanzania wamekua wakiomba Mungu amlete. Mmetuletea mbaka Jizi li gombee urais. Sasa mnashika adabu.
 
Back
Top Bottom