Waziri Mpango Piga kazi, achana na average minds!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!

Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!

Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!

Hii ni habari ktk jikoni kabisa datas za Uchumi wa Afrika 2016, TZ yetu On Top!
20161029_mac041.png
 
Hahahaha average mind like yours?
 
Barbarosa,
Sijakuelewa unaongea upuuzi gani hapa. Hebu ingia Youtube tafuta hiyo speech ya Bashe na ulinganishe na speech ya Waziri wako Mpango(PhD) holder then utajua nani mwenye SIMPLE MINDS!
Watu wa aina yako mara nyingi ni failures kwenye maisha kwa kufikiri kwamba mtu akiwa na vyeti vya Udaktari au Uprofesa basi wana akili sana na wanajua kila kitu! That's very very wrong! Kumbuka cheti cha mtu hakifanyi kazi, anayefanya kazi ni huyo mwenye cheti ambaye hujui alikipataje, usifikiri kughushi vyeti ni kwenye lower cadres tu hata Madokta na Maprofesa wapo walionunua vyeti......!!
 
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
sema uko nyuma yake sio Tanzania ndugu!!! na siku zote nyota njema huonekana asubuhi si mchana wala jion na dalili za mvua ni mawingu na si jua!So keep ur mouth shut.!!!!!!!!!!!
 
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao t ni wasaka tonge tu!
Wewe itaa wenzako mavearage mind but your IQ is 0 megabyte. Hawa waheshimiwa wabunge hawawezi kukaa kimya Wakati nchi ikianguka kiuchumi l think you're living in another planet !
 
Wote maaverage minds hao wana kipi wakijuacho? Bashe anajua nini kuhusu Uchumi?
 
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!

Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?

Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!

Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Uwezo wako wa kuchambua masuala ni mdogo sana sana...nitazame tu
 
Tanzania ipi ipo nyuma ya mtu ambaye hana vision, aondoke tu.
 
Mpango kamecremisha madesa ila kwenye swala la uchumi ni zero kabisa
 
Mpango huyu failure? Pole. Wengine tunamjua kitambo huyu. Simply ni wa "hovyo". Wachumi aina ya huyu tunawaita "one way economists".
 
Tanzania ipi ipo nyuma ya mtu ambaye hana vision, aondoke tu.

Wewe unawezaje kuona vision ya ambayo anaiona Phillip Mpango(PhD)? Unaweza kuniambia hapo? Anachokiona yeye (Waziri Mpango) wewe, Zito, Bashe &Co. mtakuja kukiona labda miaka 30 ijayo kama bado mtakuwepo!
 
Back
Top Bottom