Kwamba Phillip Mpango (PhD) yuko sawa kabisa na hii nchi inamuhitaji!
hivi ww darasa la ngapi ?do you know even the meaning of vision?Wewe unawezaje kuona vision ya ambayo anaiona Phillip Mpango(PhD)? Unaweza kuniambia hapo? Anachokiona yeye (Waziri Mpango) wewe, Zito, Bashe &Co. mtakuja kukiona labda miaka 30 ijayo kama bado mtakuwepo!
Ingawa huyo waziri wa fedha ni msomi [PhD] holder lakini hajui anachokifanya hapo treasury na athari za maamuzi yake kwa nchi; mfano mmoja mzuri ni huu wa introduction ya 18% vat kwenye huduma za benki na jinsi hii kodi ilivyowaathiri adversely wananchi na hata kupelekea deposits katika mabenki kupungua sana!! It is because of his ignorance, he did not know that vat tax is paid by the consumer and not the provider of the services!! Banks have passed the tax to their clients while Mpango believed that it would be collected from the banks; his ignorance of tax matters has impoverished the people and tarnished the image of the government!!!
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Kazi IPI ambayo wewe unaona huyo Waziri mpango apige,au aendelee kuwasakama kwa makodi bodaboda,we ndio unaona kazi hiyo,inaonekana ufahamu wako umefikia tamatiPhillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Bora huyo Bashe kuliko huyo Waziri hana jipyaWote maaverage minds hao wana kipi wakijuacho? Bashe anajua nini kuhusu Uchumi?
Wewe ndiyo una matatizo siyo Waziri Mpango, ulizoa kuishi kwa wizi na kubabaisha, sasa mwisho wenu matapeli umefika
Mchawi si lazima ashike tunguri,bali ni mtu yoyote anaetumia fikra na uwezo wake wa ziada kupumbaza kitu na kukwamisha maendeleo akiwa katika kiza kinene wakati katika mwanga anajitahidi kujitakasa,hakika wewe ndiyeWewe unawezaje kuona vision ya ambayo anaiona Phillip Mpango(PhD)? Unaweza kuniambia hapo? Anachokiona yeye (Waziri Mpango) wewe, Zito, Bashe &Co. mtakuja kukiona labda miaka 30 ijayo kama bado mtakuwepo!
Mpango nimefanya nae kazi so namjua ndio maana nakwambia ni "one way economist". Sjui unaelewa nikikwambia hivi? Yaani akiamini kwenye demand side, haangalii repercussions upande wa Supply side. Ndio maana Nchi kama Marekani, Baraza la kumshauri Rais masuala ya kiuchumi linaundwa na jopo la wachumi watatu. In most cases, Demand side economist, supply side economist na at least "neutral" economist. Angalia policy actions and implications za Mpango ndio utabaini haya.Hahah k.ilaza mwingine huyu, wewe huwezi kuona anachokiona kwa maana hakuna ujuacho!
(PhD) ndiyo inayokuzuzua?
Hata yule mkuu wa mkoa wa Moro alikuwa nayo