Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
- Thread starter
- #41
Mpango nimefanya nae kazi so namjua ndio maana nakwambia ni "one way economist". Sjui unaelewa nikikwambia hivi? Yaani akiamini kwenye demand side, haangalii repercussions upande wa Supply side. Ndio maana Nchi kama Marekani, Baraza la kumshauri Rais masuala ya kiuchumi linaundwa na jopo la wachumi watatu. In most cases, Demand side economist, supply side economist na at least "neutral" economist. Angalia policy actions and implications za Mpango ndio utabaini haya.
Unfortunately, Wengine hatuko hapa kutetea vyama wala serikali bali tupo kuona siku moja nchi yetu inakuwa na uchumi mzuri na jamii yake inafurahia.
Hauna jipya uko hapa kufanya witch hunting tu, kwa kuwa mlizoea kuishi kwa mishe mishe sasa zimepigwa chini mnaanza kung'aka asiyeweza kuishi kwa jasho la mshahara wake kipindi hiki atalia sana, na hakuna kulegeza kamba, ukishindwa hama nchi!