Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema nchi yake "haitakubali vitisho vya aina yoyote"

Hizo ni mbinu za Trump na Pompeo za kujaribu to get even na ujio wa Wachina Barani Africa, hao ndio wana instigate Wamisri ili wachukue drastic steps za kijinga.

Amrican Administration bado wanaendeleza siasà zao za kuhujumu projects za Wachina pamoja na biashara zao Dunia nzima.

Binafsi nafikiri Misri haiwezi kufikia hatua ya kulipua bwawa la Ethiopia kutokana na ushawishi/ushauri wa Urusi, Misri inamuheshinu sana Putin na Putin ni Rais mwenye hekima na ushawishi mkubwa .
 
Ethiopia hana jeshi la kukabiliana na jeshi la misri.
Unawaza hapo vita itakuwa ni ya nini kwa mfano? Misri kutaka kutawala Ethiopia au kuchukua mto? Fahamu huo mto haupo mpakani.

Afu issues zingine hazihitaji nguvu, wataalamu waangalie ni kweli Misri itaathirika? Je Ethiopia hawezi pata mbadala? Wamisiri na Waethiopia are all mankind wanaopaswa kulindwa na kunufaika na hv vitu vinavyosaidia uhai qa binadami no matter vipo nchi gani, Mungu ndiye kaviweka kwa ajili ya jaamii ya wanadamu yote. Maji ni sawa na na hewa

Hv Brazil akiamua kuangamiza Amazon, bila kujali athari zake kwa jamii ya dunia, itakuwa sawa aachwe kwa vile sehemu kubwa ya Pori ni yake? Sayansi itumike kutoa solution

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Italy iliyosumbua world war ndo iliyochapwa na Ethiopia........kwenye vita kuna mengi
Linapo kuja kwenye suala la vita usilete hadithi za zamani dunia inabadirika kwa kasi ya ajabu.
Kujaribu kulinganisha vita vilivyo piganwa miaka zaidi 80 iliyo pita na vita inayo piganwa sasa hivi unakosea.
Kila siku nimekuwa nikisisitiza ya mwamba Ethiopia hana uwezo wa kuikabili misri kijeshi huo ndio ukweli tukiachana na ushabiki.
Misri na Ethiopia hawajashea mipaka kwa hiyo vita yao itakuwa ya angani, sasa niambie Ethiopia ina jeshi gani la anga lenye uwezo wa kuivamia anga ya misri?
Je Ethiopia ina mifumo gani ya ulinzi imara yenye uwezo wa kukabiliana na jeshi la anga misri lililosheheni ndege na makombora ya kisasa?
Misri ni kati ya nchi yenye jeshi la anga lenye nguvu kubwa sana duniani,juzi BBC walitoa takwimu za majeshi yanye nguvu duniani misri iko nafasi ya 9 kidunia wakati Ethiopia hata kwenye 70 bora hayupo.
Kinacho takiwa ni wakae waone ni jinsi gani wataumaliza huu mgogoro kwa amani, ila tofauti na hapo Ethiopia itapoteza pakubwa mno, ukweli ni lazima usemwe.
 
6 day war na Israel Misri alichapika kama mtoto mdogo na wakati huo alikua na jeshi la kuogopwa kwa mashariki ya kati......vita mbinu tu we jaza mavifaa ila ukiotewa unakua mpole........kwa sasa ukanda ule saudi arabia ndo anajeshi lenye nguvu ila kuzichapa tu na Yemen kapelekeshwa
 
Nimesha kwambia acha kulinganisha vita ya wakati huu na vita iliyo piganwa miaka 70 iliyo pita.
Aya niambie Ethiopia atatumia mbinu gani kuipenya mifumo ya ulinzi ya misri ambayo ni ya kisasa na yenye uwezo kuishambulia misiri na hizo ndege zake za miaka ya 60.
Hii vita ingekuwa ngumu kwa misri iwapo ingekuwa ina piganwa ardhini lakini sio angani mkuu jaribu kuwa muelewa.
Hata hiyo Israel unayo isema hata yenyewe ilishinda hivyo vita baada ya kufanya mashambulizi ya anga ya kushutukiza kitu ambacho Ethiopia hana uwezo huo.
Kwenye suala la yemen huwezi sema eti wahuthi ni dhaifu wakati wanapokea silaha kali na za kisasa kutoka Iran kuanzia Makombora ya masafa marefu,ndenge zisizo na rubani zenye uwezo wa kurusha makombora.
 
Zinahitajika ndege tu hata tano kuharibu hilo bwawa,ethiopia hana air defence nzuri na hata jeshi lake la anga sio imara kama la misri
Misri hawezi kudiriki kubomoa Hilo bwawa, kitakachotokea Ni Vita ya milele!
 
Ni kauli ya kawaida kabisa ya madikteta. Hata kama wakati ule hawakutawaliwa, kwa sasa kichapo chawezekakana.
 
Nimesha kwambia acha kulinganisha vita ya wakati huu na vita iliyo piganwa miaka 70 iliyo pita.
Aya niambie Ethiopia atatumia mbinu gani kuipenya mifumo ya ulinzi ya misri ambayo ni ya kisasa na yenye uwezo kuishambulia misiri na hizo ndege zake za miaka ya 60.
Hii vita ingekuwa ngumu kwa misri iwapo ingekuwa ina piganwa ardhini lakini sio angani mkuu jaribu kuwa muelewa.
Hata hiyo Israel unayo isema hata yenyewe ilishinda hivyo vita baada ya kufanya mashambulizi ya anga ya kushutukiza kitu ambacho Ethiopia hana uwezo huo.
Kwenye suala la yemen huwezi sema eti wahuthi ni dhaifu wakati wanapokea silaha kali na za kisasa kutoka Iran kuanzia Makombora ya masafa marefu,ndenge zisizo na rubani zenye uwezo wa kurusha makombora.
Sasa na wewe unasema Ethiopia hawana uwezo umejua na wao watapata sapoti toka wapi? Hizi mambo hazina mzoefu ..........na element kubwa ya ushindi kwenye vita ni suprise ndo maana majeshi mengi hayatoi taarifa zake zote za utayari wao wa kivita.........Huyo Misri alikua na jeshi la anga kubwa kuliko Israel ila alizidiwa maarifa tu kidogo akateleza
 
Ethopia ana kiburi cha mchina hata kubali na hapo ndio mchina pengine ataonyesha mkia wake Misri inaweza pigwa na makombora yenye shabaha kama yale yaliyo lenga visima vya mafuta vya Saudi Arabia
 
Ethiopia hana jeshi la kukabiliana na jeshi la misri.
Trump alicho maanisha ni kutuma ndege za vita (Bombers) kupiga mabomu bwawa la uzalishaji Umeme huko Ethiopia na sio Misri kupeleka majeshi ya uvamizi huko Ethiopia.
 
Linapo kuja kwenye suala la vita usilete hadithi za zamani dunia inabadirika kwa kasi ya ajabu.
Kujaribu kulinganisha vita vilivyo piganwa miaka zaidi 80 iliyo pita na vita inayo piganwa sasa hivi unakosea.
Kila siku nimekuwa nikisisitiza ya mwamba Ethiopia hana uwezo wa kuikabili misri kijeshi huo ndio ukweli tukiachana na ushabiki.
Misri na Ethiopia hawajashea mipaka kwa hiyo vita yao itakuwa ya angani, sasa niambie Ethiopia ina jeshi gani la anga lenye uwezo wa kuivamia anga ya misri?
Je Ethiopia ina mifumo gani ya ulinzi imara yenye uwezo wa kukabiliana na jeshi la anga misri lililosheheni ndege na makombora ya kisasa?
Misri ni kati ya nchi yenye jeshi la anga lenye nguvu kubwa sana duniani,juzi BBC walitoa takwimu za majeshi yanye nguvu duniani misri iko nafasi ya 9 kidunia wakati Ethiopia hata kwenye 70 bora hayupo.
Kinacho takiwa ni wakae waone ni jinsi gani wataumaliza huu mgogoro kwa amani, ila tofauti na hapo Ethiopia itapoteza pakubwa mno, ukweli ni lazima usemwe.

Labda nikuhoji swali dogo, hivi una habari wakati wa vita vya VietNam, WavietCong walikuwa na airforce ya ukubwa/nguvu gani kulinganisha na Merikani, sina shaka you know kilicho wakumba US Air force assets huko VietNam, kwa taarifa yako walipoteza jet fighters, bombers na choppers takribani elfu ishirini!! Swept out of the sky by Russian made no nonsense S-72 SAM manned by Vietcong,MiGs, Manpad, triple As', RPGs ( for low flying machines like choppers), what does this tell you?

Kwa kifupi kilicho maliza ndege za Wamerikani nchini VietNam ni S-72 surface to Air missiles, hii inamaanisha ukiwa na formidable integrated defense system batteries hakuna Taifa linalo weza kukuchezea kirahisi, hakuna.

Sas taifa la Ethiopia ujasiri kama wa WavietNam wanao sana na vifaa vya kulinda anga lao wanavyo sana pamoja na uzoefu wa kupigana vita, Nina hakika kutokana na vitisho vya USA na Misri Ethiopia italazimika kununua silaha kali na za kisasa specifically S-300 pamoja na S-400 ili kulinda hydro electric dam yao dhidi ya hujuma za Misri na Merikani.

Hivi sasa USA ndio inaonekana ina usongo mkubwa na bwawa hilo, kisa? Limejengwa na Wachina lazima alibomoe ili kuhujumu kiaina projects za Wachina Barani Afrika wawakomoe kiuchumi - yanarudi yale yale ya vita baridi, Amerika haitaki China ifanikiwe/iwapite kiuchumi, wanazunguka Dunia nzima wakiwaribia sifa Wachina na kuwatisha African leaders with horror stories kuhusu ujio wa Wachina Barani Africa.
 
Back
Top Bottom