Kwani Ibara gani ya Katiba ya Muungano inataambuwa hicho cheo cha Maalimu?
Kufungua miradi hata wewe unaweza kama ukialikwa na hipo pia inayofunguliwa na mbio za mwenge, Mabalozi wa nchni za nje, na wageni mbali mbali wanao tutembelea, hata ile inayofunguliwa na watu kama Mama Clinton! Hao sidhani kama ni viongozi wa Kitaifa.
Siku ya jana kulifanyika ibada kubwa pale Zanzibar, na viongozi wakuu wa kitaifa walikuwepo. Nilishangazwa kwa jinsi protokali ya nchi hii ilivyomuweka Pinda nyuma ya JK, Bilal, Shein, Hamad na Idd. Kama ni waziri mkuu wa serikali ya muungano, basi hata rais wa Zanzibar anapaswa kuwa chini yake kwa maana Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Hii imenifanya nimwone PM kama kiranja wa 'Bara'. Mtu wa sita kwa hadhi Tanzania atasema nini Zanzibar ilhali juu yake kuna wazanzibari wanne? Najua katiba za Zanzibar ilifanyiwa marekebisho kwa kupeana vyeo lukuki, lakini ni lini katiba yetu imerekebishwa na kumshusha hadhi PM kwa kiasi hiki. Kwangu mimi jaji mkuu chande hata mama Makinda wana hadhi kubwa zaidi ya rais wa Zanzibar kwa sababu wanaweza kurithi urais wa Tanzania.

Inaongezaje pato la Taifa? Tukivunja Muungano au tukigawana majukumu kila mtu akawa na serikali yake tutapunguza mzigo wa gharama:Mtoa hoja,
Hii inapunguza umaskini kwa kiasi gani? au inaongeza pato la taifa kiasi gani? I don't care...
Nilipo RED.
Kwani Pinda ni nani dhidi ya Wazanzibar?
Kwa kifupi madaraka yake mwishi CHUMBE na akiingia Znz anaweza kuwa nini wa sita hata akaondolewa kabisa katika namba na kukosa kiti kukaa kwenye jamvi.
Vile vile nimeshukuru kwa mtoa bandiko kuweza kuitambua Znz kama nchi na ina Utaifa kamili kwa kusema yupo nyuma ya waZnz na sio wa TZ. Hongera kwa kulitambua hilo.
inaongezaje pato la taifa? Tukivunja muungano au tukigawana majukumu kila mtu akawa na serikali yake tutapunguza mzigo wa gharama:
Tutapunguza gharama za kuwa na ma vice presidents na ma retired presidents kibao toka zanzibar ambao wanahudumiwa na bajeti ya muungano ambayo zanzibar hawana cha kuchangia. Tutapunguza gharama za kuwalipa wabunge wa zanzibar ambao hawahusiki katika mijadala mingi ya mambo yasiyo ya muungano. Tutapunguza gharama za umeme wa bure tunaowapa zanzibar kwa maana serikali ya mapinduzi imetangaza hawawalipi tanesco! Tutapunguza mzigo wa kuwasomesha wazanzibar vyuo vikuu vya bara. Tutapunguza gharama za kuwatunza viongozi wa zanzibar waliohamia dar baada ya kustaafu, salim ahmed salim, ally hassan mwinyi, abood jumbe na wengine kibao. Tutaongeza ajira za wabara ambazo tunalazimika kuwapa wazanzibar serikalini kwa affirmative action.
Kimsingi, tutapunguza gharama kwa kutua mzigo wa kui finance zanzibar, ambao hawana shukrani anyway. Na hapo bado hatujaongelea inherent injustices za sheria za zanzibar zinazo declare wazi wazi kwamba mtanzania bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar. Ndio maana wengine tunalilia kwa machungu kuvunja muungano.
Mtoa hoja,
Hii inapunguza umaskini kwa kiasi gani? au inaongeza pato la taifa kiasi gani? I don't care... all are just politician whom they most care for their life and families.
Nami nashangaa...........WAJITOE TUU...................... WAZANZIBAR WOTE HAWAUTAKI LAKINI WAMEJAA KIBAO HUKU BARA KULIKO HATA IDADI YA WABARA WALIOKO KULEKitu ambacho sielewi ni kuwa kwanini Wazanzibari wasiamue tu kutoka kwenye muungano mambo mengine yangekuwa rahisi kweli. Nadhani ni rahisi zaidi kuwa na uhusiano wa wa kinchi kuliko tulivyonao sasa ambao tumeukomplicate kwa mambo mengi tu. Labda miye itabidi nisaidie kuchochea hizi hisia za utaifa ili Zanzibar itoke kwenye muungano na tuwe na nchi huru mbili - sijui kama itakuwa ni pre revolution after independence au after revolution. Lakini wakati umefika kwa Wazanzibar siyo kukosoa waanze tu wazi kabisa kutaka kutoka kwenye muungano ili tuwe na nchi mbili nadhani mahusiano yatakuwa rahisi na more organized.
.Katiba ya TZ hawatambui makam wawili wa Zenji inamjua waziri kiongozi so hata wao wakija huku hawajulikana kazi zao wala hawana viti vya kukalia..Ila sijui kama hili nalo ni issue katika msiba tulioupata.. Protocol ziko na zitandelea kuwepo cha msingi tuwasaidie jamaa wa 1st class waliko kwenye MV Spice mpaka sahv hakuna hata mmoja aliyetoka!

Tanzania tuna protocali 2. Ya JMT na ya ZNZ. Protocal ya JMT on top ni

1. President

2. VC

3.PM

4. Spk

5. CJ

Note kwenye protocal yetu, rais wa ZnZ na makamo wake wawili are all nobody in TZ ila wakija wanapewa heshima tuu.

Vivyo hivyo protocal ya ZnZ ni

1. Rais wa ZnZ na M/K wa BLM

2. 1st VC (boya with no executive

powers and nothing to do)

3. 2nd VC ambaye ni CM

4. Spika wa BLW

5. CJ wa ZnZ

Jk, Pm wetu na viongozi wowote wa bara are nothing in Zanzibar bali heshima tuu.

Haya ni baadhi tuu ya mapungufu kwenye structure ya muungano. Haya na mengine mengi yatakuwa taken care kwenye katiba mpya itakayoanza kutumika 2016 baada ya CCM kuitumia iliyopo kurudi madarakani 2015!.