Waziri Mkuu Tanzania - Mtu wa sita kwa hadhi nyuma ya wazanzibari wanne

Haya ndio matatizo ya kuificha TANGANYIKA ndani ya muungano.
Ilikuwa muhimu kwa TANGANYIKA na ZNZ kuwa dhahiri kwa madaraka na majukumu yanayoeleweka!
Otherwise,tunacheza kidali po!
 
Pinda ni kiongozi wa Tanganyika hana nafasi yoyote akikanyaga ardhi ya NCHI ZANZIBAR
Viongozi Wa serikili ya Tanzania ni Rais na makamo wake.Pinda ni kiongozi Wa Tanganyika.
Inakuwa PM kuwa kiongozi wa serikali bungeni, ambalo bunge ni la JMT. Ambapo wabunge toka Z'bar wapo humo! Kama ni kiongozi wa T'nyika?
 
Jamani napita tu maana structure hii ya muungano ilivyo inanifanya nisiwe na comments zozote kwa sasa.
 
Jamani napita tu maana structure hii ya muungano ilivyo inanifanya nisiwe na comments zozote kwa sasa.

Hii tabia ya kupita pita tu bila mwelekekeo ndio inafanya Tanganyika yetu kupotea. Tafakari. Chukua hatua. Usipite tu
 
Back
Top Bottom