Waziri Mkuu Tanzania - Mtu wa sita kwa hadhi nyuma ya wazanzibari wanne

Mgeni rasmi kwenye hafla ile alikuwa Rais wa Zanzibar. JK alipokaribishwa kuongea alisisitiza hili kwa kusema huyu ni Rais wa Zanzibar na sio Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na akataka huku bara tulielewe hili. Itifaki hii huwa inatumika pia kwenye sherehe za kila mwaka za siku ya Mapinduzi ya Zanzibar. Haishangazi sasa Waziri Mkuu wetu kuwa namba nne au chini ya hapo siku ile.
Tatizo lililopo ni mabadiliko yale ya Katiba ya Zanzibar kushindwa kuhuishwa ndani ya Katiba ya JMT na hivyo kuonekana ni batili. Hili litaleta taabu sana hata kwenye kuandika upya katiba yetu ijayo.

Kwani Ibara gani ya Katiba ya Muungano inataambuwa hicho cheo cha Maalimu?

Kufungua miradi hata wewe unaweza kama ukialikwa na hipo pia inayofunguliwa na mbio za mwenge, Mabalozi wa nchni za nje, na wageni mbali mbali wanao tutembelea, hata ile inayofunguliwa na watu kama Mama Clinton! Hao sidhani kama ni viongozi wa Kitaifa.

Ni ile ibara inayobainisha kuwa kutakuwa na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa upande wa Zanzibar.
Sasa ndani ya SMZ kuna viongozi wake kuanzia Rais, Makamo 2 na baraza la mawaziri.

Kumbuka kuwa hata alipofungua hiyo miradi alipata msafara mkubwa sana na ulinzi mkali ukiongozwa na Polisi na kupokelewa na kiongozi mkubwa sana wa Mkoa kwa maana RC na kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama.

Siku ya jana kulifanyika ibada kubwa pale Zanzibar, na viongozi wakuu wa kitaifa walikuwepo. Nilishangazwa kwa jinsi protokali ya nchi hii ilivyomuweka Pinda nyuma ya JK, Bilal, Shein, Hamad na Idd. Kama ni waziri mkuu wa serikali ya muungano, basi hata rais wa Zanzibar anapaswa kuwa chini yake kwa maana Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Hii imenifanya nimwone PM kama kiranja wa 'Bara'. Mtu wa sita kwa hadhi Tanzania atasema nini Zanzibar ilhali juu yake kuna wazanzibari wanne? Najua katiba za Zanzibar ilifanyiwa marekebisho kwa kupeana vyeo lukuki, lakini ni lini katiba yetu imerekebishwa na kumshusha hadhi PM kwa kiasi hiki. Kwangu mimi jaji mkuu chande hata mama Makinda wana hadhi kubwa zaidi ya rais wa Zanzibar kwa sababu wanaweza kurithi urais wa Tanzania.

Nilipo RED.

Kwani Pinda ni nani dhidi ya Wazanzibar?

Kwa kifupi madaraka yake mwishi CHUMBE na akiingia Znz anaweza kuwa nini wa sita hata akaondolewa kabisa katika namba na kukosa kiti kukaa kwenye jamvi.

Vile vile nimeshukuru kwa mtoa bandiko kuweza kuitambua Znz kama nchi na ina Utaifa kamili kwa kusema yupo nyuma ya waZnz na sio wa TZ. Hongera kwa kulitambua hilo.

Marekani, Uingereza wana balozi ndogo Zanzibar. Kwa kimombo wanaitambua kama 'semi-autonomous state', Zanzibar ni 'NCHI' yakhee!

... Kwangu mimi jaji mkuu chande hata mama Makinda wana hadhi kubwa zaidi ya rais wa Zanzibar kwa sababu wanaweza kurithi urais wa Tanzania.[/QUOTE Sio kweli Spika na Jaji mkuu walishaondolewa kukaim nafasi ya Urais. Soma ibara ya 37 ibara ndogo ya 3 imeeleza vizuri.

Siku ya jana kulifanyika ibada kubwa pale Zanzibar, na viongozi wakuu wa kitaifa walikuwepo. Nilishangazwa kwa jinsi protokali ya nchi hii ilivyomuweka Pinda nyuma ya JK, Bilal, Shein, Hamad na Idd. Kama ni waziri mkuu wa serikali ya muungano, basi hata rais wa Zanzibar anapaswa kuwa chini yake kwa maana Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Hii imenifanya nimwone PM kama kiranja wa 'Bara'. Mtu wa sita kwa hadhi Tanzania atasema nini Zanzibar ilhali juu yake kuna wazanzibari wanne? Najua katiba za Zanzibar ilifanyiwa marekebisho kwa kupeana vyeo lukuki, lakini ni lini katiba yetu imerekebishwa na kumshusha hadhi PM kwa kiasi hiki. Kwangu mimi jaji mkuu chande hata mama Makinda wana hadhi kubwa zaidi ya rais wa Zanzibar kwa sababu wanaweza kurithi urais wa Tanzania.

sitaki kusikia habari za muungano, zinanikera na zimeshanikifu. kama lingekuwa chini ya uwezo wangu, ningeuvunja na kama watahitaji kuungana, basi tuanze upya.

Mtoa hoja,

Hii inapunguza umaskini kwa kiasi gani? au inaongeza pato la taifa kiasi gani? I don't care...
Inaongezaje pato la Taifa? Tukivunja Muungano au tukigawana majukumu kila mtu akawa na serikali yake tutapunguza mzigo wa gharama:

Tutapunguza gharama za kuwa na ma vice presidents na ma retired presidents kibao toka Zanzibar ambao wanahudumiwa na bajeti ya Muungano ambayo Zanzibar hawana cha kuchangia. Tutapunguza gharama za kuwalipa wabunge wa Zanzibar ambao hawahusiki katika mijadala mingi ya mambo yasiyo ya Muungano. Tutapunguza gharama za umeme wa bure tunaowapa Zanzibar kwa maana serikali ya Mapinduzi imetangaza hawawalipi TANESCO! Tutapunguza mzigo wa kuwasomesha Wazanzibar vyuo vikuu vya bara. Tutapunguza gharama za kuwatunza viongozi wa Zanzibar waliohamia Dar baada ya kustaafu, Salim Ahmed Salim, Ally Hassan Mwinyi, Abood Jumbe na wengine kibao. Tutaongeza ajira za Wabara ambazo tunalazimika kuwapa Wazanzibar serikalini kwa affirmative action.

Kimsingi, tutapunguza gharama kwa kutua mzigo wa kui finance Zanzibar, ambao hawana shukrani anyway. Na hapo bado hatujaongelea inherent injustices za sheria za Zanzibar zinazo declare wazi wazi kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Ndio maana wengine tunalilia kwa machungu kuvunja Muungano.

Nilipo RED.

Kwani Pinda ni nani dhidi ya Wazanzibar?

Kwa kifupi madaraka yake mwishi CHUMBE na akiingia Znz anaweza kuwa nini wa sita hata akaondolewa kabisa katika namba na kukosa kiti kukaa kwenye jamvi.

Vile vile nimeshukuru kwa mtoa bandiko kuweza kuitambua Znz kama nchi na ina Utaifa kamili kwa kusema yupo nyuma ya waZnz na sio wa TZ. Hongera kwa kulitambua hilo.

unautaka muungano?

Kitu ambacho sielewi ni kuwa kwanini Wazanzibari wasiamue tu kutoka kwenye muungano mambo mengine yangekuwa rahisi kweli. Nadhani ni rahisi zaidi kuwa na uhusiano wa wa kinchi kuliko tulivyonao sasa ambao tumeukomplicate kwa mambo mengi tu. Labda miye itabidi nisaidie kuchochea hizi hisia za utaifa ili Zanzibar itoke kwenye muungano na tuwe na nchi huru mbili - sijui kama itakuwa ni pre revolution after independence au after revolution. Lakini wakati umefika kwa Wazanzibar siyo kukosoa waanze tu wazi kabisa kutaka kutoka kwenye muungano ili tuwe na nchi mbili nadhani mahusiano yatakuwa rahisi na more organized.

inaongezaje pato la taifa? Tukivunja muungano au tukigawana majukumu kila mtu akawa na serikali yake tutapunguza mzigo wa gharama:

Tutapunguza gharama za kuwa na ma vice presidents na ma retired presidents kibao toka zanzibar ambao wanahudumiwa na bajeti ya muungano ambayo zanzibar hawana cha kuchangia. Tutapunguza gharama za kuwalipa wabunge wa zanzibar ambao hawahusiki katika mijadala mingi ya mambo yasiyo ya muungano. Tutapunguza gharama za umeme wa bure tunaowapa zanzibar kwa maana serikali ya mapinduzi imetangaza hawawalipi tanesco! Tutapunguza mzigo wa kuwasomesha wazanzibar vyuo vikuu vya bara. Tutapunguza gharama za kuwatunza viongozi wa zanzibar waliohamia dar baada ya kustaafu, salim ahmed salim, ally hassan mwinyi, abood jumbe na wengine kibao. Tutaongeza ajira za wabara ambazo tunalazimika kuwapa wazanzibar serikalini kwa affirmative action.

Kimsingi, tutapunguza gharama kwa kutua mzigo wa kui finance zanzibar, ambao hawana shukrani anyway. Na hapo bado hatujaongelea inherent injustices za sheria za zanzibar zinazo declare wazi wazi kwamba mtanzania bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar. Ndio maana wengine tunalilia kwa machungu kuvunja muungano.

nasisitiza tuuvunje hata leo. Watu wanapata vitambi kwa pesa za bara, halafu walalamishi na wana tabia za kikoloni kwani wao wanauwezo wa kututawala bara wakati sisi hakuna. Muungano gani huu?

Chenga la macho la wanasiasa.

Serikali MOJA au ikishindikana ziwe TATU hilo ndio jibu. Ila serikali 2? ni kizungumkuti kingine.

Mtoa hoja,

Hii inapunguza umaskini kwa kiasi gani? au inaongeza pato la taifa kiasi gani? I don't care... all are just politician whom they most care for their life and families.

Kama hujui kuwa wenye hadhi ya juu ndio watoa maamuzi yote basi wewe ni mbumbumbu. Unapouweka mustakabali wa nchi yetu kwenye mikono ya wazanzibari wanne ni kuweka rehani 'utajiri' wako kwa minajili ya kukubaliana kisiasa. Our progress depends on who rules us. Are we ruled by zanzibaris?

Kitu ambacho sielewi ni kuwa kwanini Wazanzibari wasiamue tu kutoka kwenye muungano mambo mengine yangekuwa rahisi kweli. Nadhani ni rahisi zaidi kuwa na uhusiano wa wa kinchi kuliko tulivyonao sasa ambao tumeukomplicate kwa mambo mengi tu. Labda miye itabidi nisaidie kuchochea hizi hisia za utaifa ili Zanzibar itoke kwenye muungano na tuwe na nchi huru mbili - sijui kama itakuwa ni pre revolution after independence au after revolution. Lakini wakati umefika kwa Wazanzibar siyo kukosoa waanze tu wazi kabisa kutaka kutoka kwenye muungano ili tuwe na nchi mbili nadhani mahusiano yatakuwa rahisi na more organized.
Nami nashangaa...........WAJITOE TUU...................... WAZANZIBAR WOTE HAWAUTAKI LAKINI WAMEJAA KIBAO HUKU BARA KULIKO HATA IDADI YA WABARA WALIOKO KULE

Katiba ya TZ hawatambui makam wawili wa Zenji inamjua waziri kiongozi so hata wao wakija huku hawajulikana kazi zao wala hawana viti vya kukalia..Ila sijui kama hili nalo ni issue katika msiba tulioupata.. Protocol ziko na zitandelea kuwepo cha msingi tuwasaidie jamaa wa 1st class waliko kwenye MV Spice mpaka sahv hakuna hata mmoja aliyetoka!

SIKIZA DOGO, nchi hii hakuna katiba wala protocal, Zanzibar iko ndani ya muungano lakini hawatumii katiba ya muungano, huu ni ushenzi, kwenye msiba wa juzi zanzibar, Dr Jakaya alikuwepo lakini hakuwa mgeni rasmi, mgeni rasmi alikuwa Dr Ali, Zanzibar wana protocal yao na muungano yake.
kiprotocal inamaana kuwa rais wa muungano akiwa zanzibar, anakuwa chini ya rais wa zanzibar kimadaraka, viongozi wa ngazi za juu wa muungano wanakuwa chini ya viongozi wa zanzibar.

Ndo maana siutaki muungano wa aina hii kabisa, bora kutokuwa na muungano kuliko kuwa na muungano wa aina hii,
TUNATAKA TANGANYIKA YETU, TUWE NA RAISI WETU, KATIBA YETU, BARAZA LETU LA WAWAKILISHI, WIMBO WETU WA TAIFA

kijana hilo si tatizo, Pinda kuwekwa nafasi ile akiwa zanzibar, unajua nchi yetu na Jamhuri ya Muungano na ina Serikali mbili, hakuna tatzo, swala ni maelewano

Tanzania tuna protocali 2. Ya JMT na ya ZNZ. Protocal ya JMT on top ni

1. President

2. VC

3.PM

4. Spk

5. CJ

Note kwenye protocal yetu, rais wa ZnZ na makamo wake wawili are all nobody in TZ ila wakija wanapewa heshima tuu.

Vivyo hivyo protocal ya ZnZ ni

1. Rais wa ZnZ na M/K wa BLM

2. 1st VC (boya with no executive

powers and nothing to do)

3. 2nd VC ambaye ni CM

4. Spika wa BLW

5. CJ wa ZnZ

Jk, Pm wetu na viongozi wowote wa bara are nothing in Zanzibar bali heshima tuu.

Haya ni baadhi tuu ya mapungufu kwenye structure ya muungano. Haya na mengine mengi yatakuwa taken care kwenye katiba mpya itakayoanza kutumika 2016 baada ya CCM kuitumia iliyopo kurudi madarakani 2015!.

Mkuu Pasco jiheshimu na uwaheshimu Wazanzibari. 'BOYA. NO EXECUTIVE POWERS AND NOTHING TO DO'. Una maana gani. Mbona unatutukana Wazanzibari. TAKE CARE. Chunga domo lako.

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom