Katiba ya TZ hawatambui makam wawili wa Zenji inamjua waziri kiongozi so hata wao wakija huku hawajulikana kazi zao wala hawana viti vya kukalia..Ila sijui kama hili nalo ni issue katika msiba tulioupata.. Protocol ziko na zitandelea kuwepo cha msingi tuwasaidie jamaa wa 1st class waliko kwenye MV Spice mpaka sahv hakuna hata mmoja aliyetoka!
Watu kama Tundu Lissu wenye muono wa mbali wakitahadharisha juu ya athari za baadaye endapo "vijitatizo" kama hivi havitatafutiwa dawa mapema wanaishia kuzomewa na kuzodolewa Bungeni na hao ambao mwisho wao wa kuona ni usawa wa pua zao.
Frankly speaking, hili la Muungano wa Tn na Zn lisipotafutiwa dawa ya kudumu, regardless itakuwa chungu namna gani, ni bomu baya kuliko hatari nyingine yoyote itakayoukabili ukanda huu wa Afrika Mashariki muda si mrefu ujao. Bomu hili lina sura zote chafu na za hatari zaidi kwa wakati huu - UTAIFA (sisi, wao; chetu chetu, chao chetu), UDINI (dini yetu tuko wengi, dini, dini, dini, ...), na UGAIDI. Inahitajika busara, umakini, na uthubutu wa hali ya juu kukabiliana na dude hili liitwalo muungano.
Tundu lissu ni sehemu ya tatizo..anatumiwa na wanajumuia
Kama katiba ya TZ haiwatambui makam wa rais wawili, Juzi Seif Sharif Hamad alifungua majengo Tanzania bara kama nani?
Kama Katibu mkuu wa CUF, chama mshirika wa chama kinachotawala CCM.Kama katiba ya TZ haiwatambui makam wa rais wawili, Juzi Seif Sharif Hamad alifungua majengo Tanzania bara kama nani?
jumuia gani? ya kiislamu ama? wendawazimu bwana, huanza kama kipele cha joto..
hahahaaa wapendwa,
mmesahau kuwa kwenye sakata la jairo iligundulika kuwa hata luhanjo yuko juu yake??
ndiyo TZ yetu hii jamani, pigeni moyo konde!!
Duuuuh imebidi nincheke kuna ukweli ....hahahahahaMimi kinachonitesa, siyo nani yuko juu ya nanai.
Ila nchi kma yetu kuwa na viongozi wa juu sita!!!
Sijui lakini namjua rais na makamu wake kule US, Namjua Waziri Mkuu wa UK, namjua Chancelor wa Ujerumani peke yake!! Sasa sisi....
Marais wawili, Makamu wa rais watatu, Waziri Mkuu .....
It is too much.
matokeo yake hata hao watu wa protokali wanashindwa kupanga who is on top of who!!