mpingomweusi
Member
- Aug 24, 2015
- 59
- 13
Watalazwa sana awamu hii.
kubomoa misingi ya chama chake? CDM si ndioMungu amjalie afya njema.....arudi uraiani ili aendelee kubomoa misingi ya chama chake
Ficha upumbavu wako basi, Yule ni kama baba yako kama sio babu yako, ndio maana tumerudi kwenye mambo ya elimu bure kuwasaidia vichwa maji kama nyie. Mnaturudisha nyuma sana.Kwa kasi hii ya Tingatinga watalazwa wengi tu, na Mimi nasema walazwe tu kwani tumechoka!
Alikuwa akisema serikali ya CCM haijafanya kitu miaka yote 54 tokea NCHI ipate uhuru AKIWA KWENYE MAJUKWAA YA SIASA.Hapo Muhimbili alipolazwa hiyo hospitali na kitanda alicholalia ni kazi ya serikali ya CCM au ya CHADEMA na UKAWA?
Waandishi wa habari mkienda kumtembelea mumuulize.
Kwa kasi hii ya Tingatinga watalazwa wengi tu, na Mimi nasema walazwe tu kwani tumechoka!
Kwani maradhi yameanza awamu hii ya 5 tuu? Hivi wakati ule matatizo ya tezi dune yanatokea hapa nchini ilikuwa ni sababu ya Magu?Tena siyo mazito tu mengine makubwa kabisa watalazwa wengi tu.
Alikuwa akisema serikali ya CCM haijafanya kitu miaka yote 54 tokea NCHI ipate uhuru AKIWA KWENYE MAJUKWAA YA SIASA.Hapo Muhimbili alipolazwa hiyo hospitali na kitanda alicholalia ni kazi ya serikali ya CCM au ya CHADEMA na UKAWA?
Waandishi wa habari mkienda kumtembelea mumuulize.
Kwa kasi hii ya Tingatinga watalazwa wengi tu, na Mimi nasema walazwe tu kwani tumechoka!
Kwa speed hii ya magufuli mbona watalazwa wengi sana tulieni tu mtaona wenyewe.
Kwa kasi hii ya Tingatinga watalazwa wengi tu, na Mimi nasema walazwe tu kwani tumechoka!
Sio kila anayelazwa Muhimbili tuambiwe, mbona walivyokuwa wakienda India hatukuambiwa hadi wakifia huko ndio tunaambiwa, au vile kwa wao Muhimbili ni pageni?
pole yake sana muheshimiwa Mungu atamponya!Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la leo ambayo inasema mh.Sumaye alilazwa siku ya jana.
Chanzo: TanzaniaDaima