Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,811
- 165,569
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la leo ambayo inasema mh.Sumaye alilazwa siku ya jana.
Chanzo: TanzaniaDaima
Chanzo: TanzaniaDaima
Tena siyo mazito tu mengine makubwa kabisa watalazwa wengi tu.Kuna mazito yanakuja.
AKILI ZAKO MKUU NIZIMANILEKwa speed hii ya magufuli mbona watalazwa wengi sana tulieni tu mtaona wenyewe.
Jembe? Sumaye...ni jembe? Labda mpini.Get well soon Jembe Sumaye.
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la leo ambayo inasema mh.Sumaye alilazwa siku ya jana.
Chanzo:TanzaniaDaima