Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Nduli, Iringa kwenye msiba wa Diwani Chonanga


Hapa kuna ukweli mkubwa, wewe nenda tu hospitali ama benki. ukitaka kuhudumiwa haraka mtafute tu dada mwenye sura nzuri, msalimie na umwombe kuwa una haraka halafu utuletee jibu.

Nilishafanya hii kitu karibu mara 4. NMB magomeni mara 2 nilikuwa na haraka, nahitaji kutoa hela kupitia kaunta. Foleni ilikuwa balaa. Sasa nilichofanya ni kumfuata dada mmoja mrembo, japo alikuwa ana pete ya ndoa, nikamwomba anichukulia hela nina haraka, akachukua slip ndani ya dakika 5 nikashika pesa mkononi. Siku nyingine nikapata msaada wa dada mwingine mrembo palepale NMB Magomeni. Pia Ifakara hospitali (ST. FRANCIS) nikiwa natibiwa mimi mwenyewe miaka ya mwaka 1998. Nililazwa, akiingia nesi mmoja mrembo ananihudumia kwa ukarimu wa hali ya juu kweli kweli. Lakini wacha waingie wenye sura za MAGAMBA, utaona mziki wake. Shinyanga Hospitali ya mkoa, nilimpeleka mama yangu yangu. Nikaenda maabara nikakuta foleni kubwa, nikamwita dada mmoja Mrembo, nikamwelezea. Ndani ya nusu saa majibu yakatoka.

Kwa hiyo mkuu kuna ukweli flnai ndani yake
 
Picha hii ya mwisho ndiyo imefanya post ya mwanadiwani isinitapishe, maana nilikuwa naona mazombi tu, karibia na mwasho wa movie ndiyo nikaona binadamu wa kisasa. kama utafanikiwa kumuona huyo wa kwanza, nifikishie salamu zangu kwa huyo wa kati

Nitamtafuta na nitamfikishia salam zake.

Anyway picha hii imebeba msiba wa MAGAMBA.
 

Mkuu Ujumbe MZITO huu, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 

napita tu.....ila leo nina mawili...

1. watu wa iringa siku hizi hawahudhurii misiba kama zamani???

2.picha zinaonyesha huyu mzee aliyetangulia kwa shetani hakufanya juhudi yoyote kutafuta riziki halali kwa maisha bora na maendeleo ya maisha...nakubaliana na mmoja wetu kuwa alikuwa ana tabia za ushirikina....hata watoto hajawasomesha...wamebaki katika lindi la umasikini mkubwa....ametuachia kikundi cha majambazi.....

mytake: - nadhani ifike wakati tusikubali kuchagua majobless kwenye nafasi za kisiasa!
 

Duh, na hawa jamaa ukikutana nao kwenye chochoro huna bahati, haswa hawa wawili pembeni mwa PM

bila shaka hapo mkulu anamwambia kijana .... siku hizi ni kuwapiga tu!!!

another ramadhani ighondo aka mg'oa kucha in the making! - THIS IS HOW TISS RECRUITS NOW DAYS! no matter walinzi wa OBAMA kuwashangaa wanausalama wa tanzania kutumia mabavu...........zaidi zaidi wanafundishwa kutumia vitu vizito na vyenye ncha kali....
 
Hivi PM kaenda kama kamanda wa CCM mkoa au kwa sababu huyo bwana alitekeleza wazo lake la kupiga! marehemu alikuwa na same wazo la kupiga!
 
Wazr mkuu wetu et ameguswa sana na kfo bha kiongoz huyu wa ccm. Lakni ktk mauaj ya knyama kule Arusha PM hakuguswa hata kdogo(kaul yake bungen ildhihirisha. Anyway, polen wafiwa.
 
Wazr mkuu wetu et ameguswa sana na kfo cha kiongoz huyu wa ccm. Lakni ktk mauaj ya knyama kule Arusha PM hakuguswa hata kdogo(kaul yake bungen ildhihirisha. Anyway, polen wafiwa.
 
Hawa watoto wa Marehemu walio kulia kwa Waziri Mkuu Pinda ndio waliokwenda kuwakata mapanga wananchi waliokuwa kwenye mkutano wa CHADEMA na ambao kesi yao iko mahakamani?
huyo mtoto wa marehemu wa kwanza baada ya mizengo namfahamu nilisoma nae tunduru secondary ni bandidu kinoma anaitwa Geofrey chonanga
 
mbona hawa watoto na familia ya marehemu diwani hawafanani na udiwani? jamani watoto ni wachafu wamevaa viatu mabuvu nguo chafu. yaan ndio tusema hawa watoto ndio wamevunja kabati? kwa kweri hawa watoto wa diwani wanasthili kua wafungwa tu, mahakama ifanye haraka kuwapeleka wanapostahili hawa machokoraaa
 
Hivi huyu Maremu diwani hakuwa na majirani? mbona msiba uko na family members tu......inaelekea hakuwa na mahusiano mazuri na jamii inaomzunguka! Halafu nadhani ndo mwisho wa hii familia sioni hata dalili ya mwenye hema kati yao!
Huwa hakuna kiongozi wa CCM mwenye mahusiano na jamii yaliyo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…