Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Nduli, Iringa kwenye msiba wa Diwani Chonanga

Siasa sio uadui, hongera Mchungaji Msigwa kwa kutanguliza Utanganyika, I hope amemsamehe kwa mabaya aliyomfanyia
 
E84A0467.JPG


Hii imenikumbusha Obama alivyokuja, niliona Mawaziri wakuu wastaafu wanapanga foleni kushikana mikono na jamaa kama ilivyo hapo. Hawa jamaa wakija huku kwetu na sisi tunajipnga kuwashika mikono. Du kweki kumbe kila mtu na mnyonge wake
 
ngoja niharibu hali ya hewa..sijaona mtu ambaye anamkaribia Mnyika kwa uhandsome hapo,hao viongozi waliopigwa picha hapo wengi sura mbaaaaaaaaaaya za kigaidigaidi tuu kama matendo yao!afadhali hata huyo mgeni mwenyewe!sijui tunatumia vigezo gani kuchagua wahudumu wa ndege maana nao dah!wabaaayaaaaaa!ah,bora mfe tu tuchague viongozi wengine!
 
Kwanza nimefurahi sana kusikia huyo mzee kafa kwani ndie aliye taku kumuua mbunge wetu peter msigwa,,, kwa kuagiza vijana wake kwa visu na mapanga!!!! Pumba tupu hapo hakuna kitu jimbo letu hilo hao mamburura,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom