johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,981
Bei ya zamani sh ngapi?Mwambieni aitishe kikao kingine, dumu la mafuta ya kula liter 20 bei ya leo ni shilling 80,000/=
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Haifiki hio Bei.Singida tunauza 68000 Bila dumu.tatizo Ni alizeti zimeisha mpaka mwezi wa nneMwambieni aitishe kikao kingine, dumu la mafuta ya kula liter 20 bei ya leo ni shilling 80,000/=
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Leseni ni ya kuuza au kurundika?Hivi mtu kama karundika cement yake unaanzaje kumkamata? Why not flood the market with lots of cement ili “aliyeficha” kama yupo ajione mjinga?
Hizi efforts zinapaswa kupelekwa huko cement inakozalishwa.
Kama ni liter 20 basi ni cheap. Huwa tunanunua liter 5 kwa Tzs 25,000/=Mwambieni aitishe kikao kingine, dumu la mafuta ya kula liter 20 bei ya leo ni shilling 80,000/=
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Huyo kula kulala hata masharti ya leseni ya biashara hayajui unapoteza muda wako bure kumuuliza!Leseni ni ya kuuza au kurundika?
Sasa unanipangia niuze lini? Mwambieni basi aanze msako wa walioficha malimao na machungwa maana nayo bei imeshoot mara 10 zaidiLeseni ni ya kuuza au kurundika?
PatheticHuyo kula kulala hata masharti ya leseni ya biashara hayajui unapoteza muda wako bure kumuuliza!
SureKama ni liter 20 basi ni cheap. Huwa tunanunua liter 5 kwa Tzs 25,000/=
Bei hiyo mbona ni cheap sana sisi huku Mbezi Shoppers huwa tunanunua Tzs 25,000/= kwa liter 5. Hivyo liter 20 ni sawa na Tzs 100,000/=Mwambieni aitishe kikao kingine, dumu la mafuta ya kula liter 20 bei ya leo ni shilling 80,000/=
Cement imekuwa sukari mpaka irundikwe,Leseni ni ya kuuza au kurundika?
Sarakasi kama hizi zilichezwa wakati wa sukari na hazikufanikiwa. Sasa hivi zitafanikiwa?Hivi mtu kama karundika cement yake unaanzaje kumkamata? Why not flood the market with lots of cement ili “aliyeficha” kama yupo ajione mjinga?
Hizi efforts zinapaswa kupelekwa huko cement inakozalishwa. Tunazima moto sana sisi
Hiyo ina apply pale tu bidhaa ziko nyingi kwenye soko la sivyo ukifanya hivyo ni kinyume na sheria ya ushindani pia leseni ya biashara haruhusu kufanya hivyo wakati kuna uhaba wa bidhaa husika. Serikali yoyote duniani haiwezi kuruhusu ujinga huo.PM sijui kama anatambua kuwa ktk kufanya biashara kuna suala la "warehousing" ambalo lipo halali kabisa kisheria. Kuhifadhi bidhaa kwa muda kwa matarajio ya kupata faida baadaye kutokana na "seasonal availability of goods at the market" ni mojawapo ya "speculative motive" ya mfanyabiashara kutengeneza faida ya uhakika...