Hivi ile inayo itwa public private partnership awamu hii imekufa?Habari wanaBodi,.
Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.
Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.
Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.
My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.
Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
Utashangaa hivyo vinaruhusiwa. Hii awamu kuna tatizo kubwa sana. Wana kila dalili za ujamaa japo ulishashindwa.Hata ABBOT, LAMBERT, ROGER MUNCASTER, BANNET hawa ni watu Binafsi hawa wote ni watu binafsi, Je hatutaki kuwa na Watanzania waandishi kama hao?
Hili la kuchapisha vitabu vya shule limekaa sawa Mkuu. Kila mtu anachapisha kuna hatari ya kupoteza lengo la elimuHabari wanaBodi,.
Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.
Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.
Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.
My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.
Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
UnaumwaBila matamko utendaji hauonekani
Ulitaka kumaanisha kuwa 'inataka kutaifisha kila kitu?'My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu,