Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Tozo zisizo na msingi zifutwe

ifike mahali tukubali kuwa magu KAFA
Kama mungu wako alikuwa Magufuli basi tambua magufuli kafa ila kama ilikuwa ni legacy ya Magufuli ambayo ni "uzarendo wa kweli' basi ujueyenyewe inaishi
 
Hadi 2025 ngoma inogile, bibi anataka kuturembulia hadi 2035 wakati wanaume wapo.
 
Unafiki una sifa hizi: kuongelea jambo bila kulitaja kinaga ubaga wala kusema ni nani unamwongelea.

Hajataja tozo hizo ni zipi na anamuamuru nani aziondoe! Tozo zinaendelea kubaki, waweka tozo wanaendelea na mambo ya na WM anapigiwa makofi na vigeregere.

Mwanasiasa, I hate you with passion!
 
Yaani sawa na mtu kupita mtaani kulalamika ameibiwa na alie iba amrejeshee kitu chake vinginevyo atamloga Ili hali hajui hata kwa mganga wa kienyeji!
 
Tozo zote zina msingi na msingi wake mkuu ni maendeleo, wananchi tumezikubali na tunaziunga mkono, tozo ziendelee !
 
Back
Top Bottom