Nime sema it is possible (probability).Hata kama sio wataalamu wa barabara usitupige uongo bwana bilioni 5.4 kwa km 1.8 Huo ni wizi tena wa wazi wazi kabisa.
Narudia wewe ndiye mpumbavu na lofa mkubwa....na huna uwezo wowote wa kumpigania mtu wewe, una kila tabia za CHAWA PRO MAX.....Baki na upumbavu wako!
Ndio maana nasema kuwapigania watz wapumbavu kama nyie ni ujinga mtupu!
Hata mimi sijui!Maagizo ya Kassim huwa yanapuuzwa au ni mimi ndio sijui?
Huyo ni kama kivuli tu, hakuna chochote anachofanya zaidi ya kula pesa za wananchi kuzurura. Anachagua mafisadi dagaa, mafisadi yangumi anawaogopa kama ukoma. Kwa bomba la mafuta Kurasini yuko kimya kama vile hakusikia na kwa ule wizi uliofanyika Wizara ya Fedha yuko kimya kama aliyemwagiwa maji ya mvua.Hatuwezi Mh kukuamini maana huko nyuma ulisema Magufuli yupo ofisini anachapa kazi, wakati yuko kwenye friji! I can not bank on you, Your Excellency!
Takukuru haifanyi kazi hadi ipewe maagizo duuh...!!? Nchi hii mifumo haijiendeshi yenyewe bila kuambiwa fanyeni hivi au vile.Mfano Lindi mjini kata ya rasbula sehemu mitema kuna jengo la ofisi ya kata ya Rasbula pesa ilitolewa m.40 lakini imeliwa na haiendani na thamani ya jengo,ila hata dalili ya kuisha hamna.Takukuru wapo na magari wanayo ila wanalia bata tuu kwenye mabar humu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
ni mbaya sana kisheria